MABONDIA IBRAHIMU TAMBA NA JULIUS KISARAWE WANYAKUWA MIKANDA YA TPBO
Bondia Mrisho Adam kushoto akipambana na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Adam alishinda kwa point mpambano huo
Bondia Mrisho Adam kulia akipambana na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Adam alishinda kwa point mpambano huo
Mabondia Karim Ramadhani Kushoto akipambana na Stevin Kobelo wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mchazo huo ulimalizika kwa droo
Bondia Hassani Kiwale kushoto...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Nov
MABONDIA SAMSON MAISHA NA IBRAHIMU TAMBA WATAMBIANA KUZIDUNDA JUMAPILI NOVEMBA 9 MANYARA PARK MANZESE
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Julius Kisarawe kuzichapa na Moro Best leo
BONDIA Julius Kisarawe anatarajiwa kupanda ulingoni katika Ukumbi wa Friends Corner, Manzese jijini Dar es Salaam leo, kuzichapa na Hassan Kiwale ‘Moro Best’. Kwa mujibu wa muandaaji wa mnyukano huo,...
10 years ago
Vijimambo31 Dec
MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBANIA MKANDA WA U.B.O AFRICA FEB 28
11 years ago
Mwananchi04 Jan
PST, TPBO wakana kumrubuni Cheka
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
‘Madereva vijana hawapendi kufunga mikanda’
IMEBAINIKA kuwa idadi kubwa ya waendesha magari vijana hawafungi mikanda hivyo kuwafanya kuwa waathirika wakubwa wa ajali za barabarani ambazo zingeweza kuepukika. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Carmudi...
10 years ago
Vijimambo13 Jan
MIKANDA MIWILI YA UBINGWA WA TAIFA WA NGUMI KUGOMBANIWA MANYARA PARK JANUARY 30
![](https://3.bp.blogspot.com/-bx2_78dYOE0/VLRAloDh3XI/AAAAAAAAG3U/cS3vnM6agRY/s1600/NDAME%2B2.jpg)
BONDIA Ibrahimu Tamba ambaye ni bingwa wa uzito wa kg 72 ambaye ni bingwa wa TPBO anatarajia kuvaana na Baraka Mwakansope wa Mbeya mpambano wa ubingwa wa raundi kumi utakaofanyika january 30 katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM
akizungumzia mpambano huo promota Jafarri Ndame amesema siku hiyo kutakuwa na mipambano miwili ya ubingwa yote yakiwa na raundi kumi kila moja mpambano mwingine utawakutanisha Azizi Abdallah akatakaekabiliana na Selemani Zugo pia kutakuwa na...
9 years ago
Habarileo11 Nov
Bondia Tamba kupanda ulingoni Nov 22
BONDIA Ibrahimu Tamba anatarajia kupanda ulingoni Novemba 22 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es Salaam kupambana na bondia Baraka Mwakansope kutoka Mbeya.
10 years ago
VijimamboWAJUE MAMIXOLOGISTS AU UKIPENDA DRINK MASTERS WANAO TAMBA DMV
10 years ago
VijimamboPICHA ZILIZO TAMBA SIKU YA UFUNGUZI WA TANZANIA HOUSE NEW YORK CITY KUTOKA TEMBAPHOTO