PST, TPBO wakana kumrubuni Cheka
Marais wa Organaizesheni za Ngumi za Kulipwa nchini PST na TPBO wamekanusha taarifa kuwa wao walihusika kumshawishi na kumrubuni aliyekuwa Bingwa wa Dunia wa WBF, Fransis Cheka kupigana bila kuangalia athari za pambano hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Mbelwa: PST wanabahatisha
BAADA ya Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Tanzania (PST), kumfungia bondia Said Mbelwa kwa miezi sita kucheza pambano lolote ndani ya nchi, amesema uongozi huo unabahatisha, kwani anaamini yeye ndio...
10 years ago
Vijimambo10 Nov
MABONDIA IBRAHIMU TAMBA NA JULIUS KISARAWE WANYAKUWA MIKANDA YA TPBO
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
10 years ago
TheCitizen24 Nov
BOXING: Majiha falters, PST takes pluses
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Polisi wakana kuhusika na mauaji
11 years ago
Habarileo12 Jul
3 wakana kumuua mama yao
WAKAZI watatu wa kijiji cha Uhelela wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma wamekana shitaka linalowakabili la mauaji ya kukusudia ya mama yao mzazi, ambapo wanadaiwa kumshambulia kutokana na kitendo chake cha kumlazimisha mjukuu wake kula mchele.
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Waasi wakana kutungua ndege ya UN
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Polisi wakana mauaji migodini TZ
10 years ago
Habarileo08 Nov
ACT wakana kujiunga na Ukawa
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimesema kinaingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kuungana na chama chochote cha siasa kwa sababu wanaamini itikadi za vyama hivyo haiendani na itikadi yao.