Machali kutogombea ubunge Kasulu Mjini
Na Mwandishi Wetu, Kigoma
MBUNGE wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi), ametangaza rasmi kwamba hatagombea tena ubunge wa jimbo hilo wakati wa uchaguzi mkuu mwaka huu.
Amesema ingawa alikuwa na nia ya kuendelea kuongoza jimbo hilo, amelazimika kuacha kwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama chake wilayani Kasulu wanachafua jina lake bila sababu.
Machali alitangaza msimamo huo juzi mjini Kasulu alipohutubia mkutano wa hadhara.
“Kuna baadhi ya viongozi wachache wenye mawazo ya kijinga...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog31 Oct
Mfanyabiashara Davis Mosha atangaza kutogombea Ubunge jimbo la Moshi mjini
10 years ago
Habarileo01 Aug
Makinda kutogombea ubunge
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amesema amekuwa mbunge kwa miaka 40, hivyo ameamua kuwaachia wengine na kuwaonya wanawake wanaogombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu ujao kutolia au kulalamika jukwaani kwani ni udhaifu mkubwa.
11 years ago
GPL
MKUTANO WA DK SLAA WAVUNJIKA KASULU MJINI
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Ndesamburo atangaza kutogombea jimbo la Moshi Mjini, amuachia mikoba Meya Jafary Michael
10 years ago
VijimamboUPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Chanzo:...
10 years ago
Habarileo17 Jul
Watano wajitokeza ubunge Arusha Mjini
KINYANG'ANYIRO cha kuwania Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini jana kilianza kwa mbwembwe baada ya wanachama watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kuwania ubunge katika Jimbo hilo.
10 years ago
Habarileo08 Jul
Chadema wachuana ubunge Tabora Mjini
WANACHAMA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kuingia katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa katika Ukawa kuwania ubunge jimbo la Tabora Mjini.
10 years ago
Raia Mwema10 Sep
CCM kutwaa ubunge Moshi Mjini?
WAKATI kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu, zikipamba moto katika m
Paul Sarwatt
10 years ago
Vijimambo26 Oct