Makinda kutogombea ubunge
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amesema amekuwa mbunge kwa miaka 40, hivyo ameamua kuwaachia wengine na kuwaonya wanawake wanaogombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu ujao kutolia au kulalamika jukwaani kwani ni udhaifu mkubwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV14 Nov
Anna Makinda aeleza dhamira ya kutogombea uspika
Spika wa Bunge la Tanzania Anna Makinda ameelezea dhamira yake ya kutogombea kwa mara nyingine nafasi hiyo ya uspika na kusema kipindi cha miaka 40 ndani ya Bunge kimetosha, na sasa atasalia kuwa mshauri kwa spika wa bunge lijalo.
Spika Makinda amehudumu kama spika kwenye bunge hilo kwa kipindi cha miaka mitano, na sasa anaamua kustaafu uongozi ndani ya siasa.
Spika Makinda anaondoka huku akiacha historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa spika wa bunge la Tanzania, ambaye pia anajivunia...
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Machali kutogombea ubunge Kasulu Mjini
Na Mwandishi Wetu, Kigoma
MBUNGE wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi), ametangaza rasmi kwamba hatagombea tena ubunge wa jimbo hilo wakati wa uchaguzi mkuu mwaka huu.
Amesema ingawa alikuwa na nia ya kuendelea kuongoza jimbo hilo, amelazimika kuacha kwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama chake wilayani Kasulu wanachafua jina lake bila sababu.
Machali alitangaza msimamo huo juzi mjini Kasulu alipohutubia mkutano wa hadhara.
“Kuna baadhi ya viongozi wachache wenye mawazo ya kijinga...
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Mfanyabiashara Davis Mosha atangaza kutogombea Ubunge jimbo la Moshi mjini
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Kiongozi wa DA kutogombea uchaguzi ujao
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Manji kutogombea uenyekiti Yanga
10 years ago
Habarileo30 May
‘Hatuwezi kulazimisha Nkurunziza kutogombea’
SERIKALI imesema haitamlazimisha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kuacha kugombea urais wa nchi hiyo kwa muhula wa tatu kama ambavyo wananchi wa Burundi wanavyoandamana kupinga jambo hilo.
10 years ago
StarTV03 Feb
Mbunge wa Nyang’hwale atangaza kutogombea.
Na Wilson Elisha,
Nyang’hwale.
Kutovunjwa kwa makambi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika chaguzi mbalimbali nchini ni moja ya sababu zinazochangia kurudisha nyuma maendeleo yanayokusudiwa kufanyika.
Hali hii imemlazimu Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale mkoani Geita Mheshimiwa Hussein Kasu kutangaza rasmi kutogombea nafsi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao na kutaka juhudi za makusudi zifanyike kuondaa makambi vinginevyo yataendelea kukitafuna chama hicho.
Kauli ya mbunge wa Jimbo la...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyDgsXHkaUI*tH68aoUaN5PCsHxQ3LcadP9LPQfL3FJeXw6ScFPmzGleVjBf2NrEyywLFb9ZgyP-el-hM52hjcZ2dAlqPN5z/pindapx.jpg?width=650)
MH. PINDA AUNDIWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA URAIS
10 years ago
GPLIDD AZZAN ASHTUSHWA KUPIGWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA