‘Hatuwezi kulazimisha Nkurunziza kutogombea’
SERIKALI imesema haitamlazimisha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kuacha kugombea urais wa nchi hiyo kwa muhula wa tatu kama ambavyo wananchi wa Burundi wanavyoandamana kupinga jambo hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWANAHARAKATI WA BURUNDI AOMBA MKUTANO WA KESHO WA MARAISI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUTOMRUHUSU RAIS NKURUNZIZA KUTOGOMBEA MUHULA WA TATU
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Katiba ya kulazimisha itaiumiza nchi
KUIBUKA kwa shangwe, vifijo, nderemo na vigeregere katika Bunge Maalum la Katiba baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura za kupitisha vifungu vya Katiba inayopendekezwa mapema wiki hii ni dalili...
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Askofu: Kauli za kulazimisha kwenda Ikulu hatari
10 years ago
Habarileo11 Jun
‘Ni marufuku kulazimisha malipo kwa fedha za kigeni’
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amesema, kwa mujibu wa tamko la Serikali la mwaka 2007, Mtanzania yeyote hapaswi kulazimishwa kufanya malipo kwa fedha za kigeni.
10 years ago
Habarileo01 Aug
Makinda kutogombea ubunge
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amesema amekuwa mbunge kwa miaka 40, hivyo ameamua kuwaachia wengine na kuwaonya wanawake wanaogombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu ujao kutolia au kulalamika jukwaani kwani ni udhaifu mkubwa.
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Kiongozi wa DA kutogombea uchaguzi ujao
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Manji kutogombea uenyekiti Yanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyDgsXHkaUI*tH68aoUaN5PCsHxQ3LcadP9LPQfL3FJeXw6ScFPmzGleVjBf2NrEyywLFb9ZgyP-el-hM52hjcZ2dAlqPN5z/pindapx.jpg?width=650)
MH. PINDA AUNDIWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA URAIS