Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge wa Nyang’hwale atangaza kutogombea.

Na Wilson Elisha,

Nyang’hwale.

 

Kutovunjwa kwa makambi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika chaguzi mbalimbali nchini ni moja ya sababu zinazochangia kurudisha nyuma maendeleo yanayokusudiwa kufanyika.

 

Hali hii imemlazimu Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale mkoani Geita Mheshimiwa Hussein Kasu kutangaza rasmi kutogombea nafsi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao na kutaka juhudi za makusudi zifanyike kuondaa makambi vinginevyo yataendelea kukitafuna chama hicho.

 

Kauli ya mbunge wa Jimbo la...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MBUNGE CHADEMA ANG'ATUKA, ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA

Charles James, Michuzi TVMBUNGE jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfried Lwakatare ang'atuka na kutoa kauli ya kutogombea tena katika Uchaguzi hapa nchini.
Mbunge huyo ametangaza kauli hiyo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya makadirio ya mapato ya Wizara ya Tamisemi ambapo amewatakia kila heri wabunge wengine.
Tofauti na Komu, Lwakatare yeye hajatangaza kuhamia chama chochote badala yake amesema hatogombea tena katika uchaguzi Mkuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfanyabiashara Davis Mosha atangaza kutogombea Ubunge jimbo la Moshi mjini

Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,mfanyabiashara Davis Mosha akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Penfold kwa lengo la kuwashukuru wana CCM waliompigia kura. Baadhi ya wana CCM waliohudhuria mkutano huo. Mfanyabiashara Davis Mosha akitangaza uamuzi wake wa kutojihusisha tena na siasa,uamuzi uliosababisha wanaccm kushindwa kujizuia na kuanza kuangua vilio. Baadhi ya wana CCM wakilia kwa uchungu mara baada ya Davis Mosha kutangaza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ndesamburo atangaza kutogombea jimbo la Moshi Mjini, amuachia mikoba Meya Jafary Michael

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakifuatili mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika katika eneo la soko la Manyema. Katibu mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi na Diwani wa Kata ya Kiusa , Stephen Ngasa akizungumza katika mkutano huo wa hadhara. Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akiwasili katika viwanja eneo la soko la Manyema akiwa ameongozana na Diwani wa kata ya Mji Mpya ,Abuu Shayo na Stephen Ngasa wa kata ya Kiusa. Mstahiki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana mpongeza Mbunge Lekule kwa uamuzi wake wa kutogombea tena

*Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha alia na watendaji wa serikali,asema ndio wanakiumiza chama

*Nape awapongeza wana CCM wilaya ya Longido kwa mshikamano na kuipa ushindi CCM kwenye Chaguzi

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Longido Ndugu Michael Lekule Laizer mara baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Engikareti mpakani mwa wilaya ya Arumeru na Longido.

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza wimbo maalum kutoka kwa wenyeji...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge CCM atangaza mapema msimamo

Mbunge wa Viti Maalumu, Dk Prudenciana Kikwembe (CCM), ametangaza kufa na tai shingoni akiunga mkono msimamo wa Serikali mbili kwa maelezo kuwa ndilo suluhisho la migogoro ya wanyonge Tanzania.

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUHAMIA NCCRA MAGEUZI


Mbunge wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasini, leo Aprili 28, 2020 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga na chama cha NCCR-Mageuzi baada ya kumalizika kwa vikao vya  Bunge.


Jana, Selasini alidai kutengwa na wabunge wenzake wa chama chake cha CHADEMA ikiwemo  kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa chama hicho  ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE LATIFA CHANDE WA CHADEMA ATANGAZA KUHAMIA CCM

Mbunge wa Viti Maalum  kupitia CHADEMA, Latifa Chande akitamka bungeni kukihama chama hicho kwa kusema anarejea nyumbani CCM Juni 15, 2020. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Grace Kiwelu na kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Risala Kabongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mbunge wa Viti Maalum  kupitia CHADEMA, Latifa Chande akitamka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani