Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Machifu sasa waomba utawala wao urejeshwe

Umoja wa machifu nchini juzi uliwasilisha mapendekezo yao katika Bunge la Katiba ukitaka yaingizwe kwenye Katiba inayotungwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

ISIS yatangaza utawala wao

Sasa wapiganaji wa ISIS wanataka kuweka utawala wa sheria kali za kiislamu katika maeneo waliyoyateka Iraq na Syria.

 

11 years ago

Mwananchi

Waomba kunusuru mtama wao

Wananchi wilayani Kishapu mkoani hapa wameiomba Serikali iwapelekee ndege kwa ajili ya kupulizia dawa ya kuua ndege aina ya kolea kolea wanaoshambulia mtama ulioko shambani ili kuweza kuepusha baa la njaa linaloweza kusababishwa na viumbe hao.

 

9 years ago

Michuzi

UVCCM ZANZIBAR WAOMBA KUPATIWA MRITHI WA MZEE KINGUNGE KUNOGESHA USHINDI WAO

 Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini-Unguja ndugu Mbarouk Mrakib katikati akizungumza na Waandishi wa habari huko ofisini kwake Bububu kuhusu mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuomba kupatikana kwa Kamanda Mpya wa UVCC Taifa baada ya Mzee Kingunge kuvuliwa Ukamanda huo. Kulia kwake ni Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini Canal Msaafu Masoud Ali Khamis na kushoto ni Mjumbe wa Kamati tendaji UVCCM Wilaya Khadija Ramadhan Abdu. Picha na Faki Mjaka- Maelezo Zanzibar. Mwenyekiti wa UVCCM...

 

11 years ago

Michuzi

Wazazi Shule ya Sekondari St. Anne Marie waomba watoto wao waruhiswe kufanya mtihani wa Mock kidato cha Sita

Kiongozi wa wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie Adel Alex (katikati) akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mgogoro huo unaoendelea, kushoto ni Patricia Richard ambaye ni mlezi na kulia ni Dunstan Masingisa ambaye ni mzazi. Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie kufuatia vurugu zilizosababishwa na mwanafunzi mwenzao kupigwa shoka na mlinzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

Kuepuka maambukizi ya Corona mawakili sasa kuwasiliana na wateja wao kupitia Luninga

KUFUATIA Jeshi la Magereza nchini kuzuia huduma za watu kwenda gerezani kusalimia mahabusu kwa sababu ya kuepuka maambuzi ya ugonjwa wa Corona, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema itaruhusu mawakili wa kujitegemea kuongea na wateja wao kupitia video conference endapo watawasilisha maombi maalumu.
Hakimu Mkazi  Mwandamizi, Mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya amesema hayo leo Machi 25, 2020 alipokuwa akisiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 8 ya mwaka 2020 kwa njia ya video...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yazidi kuwakuna mashabiki wao, sasa kuwalipia washindi wa kucheza style ya “Kikuku” Usafiri, Tiketi na Vinywaji kwenye show zao

1

Kijana Machachari wa Skylight Band Hashim Donode (kushoto) akilianzisha Taratibuuuu Ijumaa iliyopita ndani  ya Thai Village akipewa Sapoti na Sony Masamba. Sasa mashabiki na wapenzi wa Skylight Band kila wiki wanashindanishwa kucheza staili yao matata ya “Kikuku na washindi hupewa ofa ya kulipiwa vinywaji, kiingilio na usafiri. Mwanzo ilikuwa Ijumaa iliyopita ambapo washindi walipewa ofa hiyo pamoja na kuhudhuria show yao kali iliyopigwa ndani ya Dar Live.

2

Meneja her self …Aneth Kushaba...

 

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) wakutana na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba

PIX 1

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu akiwaeleza jambo Wawakilishi wa Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kuhusu mapendekezo yao waliyoyawasilisha kwake kwaajili ya Katiba Mpya.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

UMOJA wa Machifu wa Tanzania (UMT) kupitia wawakilishi wake, leo umewasilisha nyongeza ya mapendekezo yake kuhusu Katiba Mpya kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Akiuwakilisha Umoja wa Machifu Tanzani (UMT), Chifu kutoka...

 

10 years ago

GPL

UMOJA WA MACHIFU TANZANIA (UMT) WAWASILISHA MAPENDEKEZO YAO KUHUSIANA NA RASIMU YA KATIBA MPYA

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu akiwaeleza jambo Wawakilishi wa Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kuhusu mapendekezo yao waliyoyawasilisha kwake kwaajili ya Katiba Mpya. Chifu John Nyanza (aliyekaa katikati) wa kutoka Magu akimueleza jambo Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu (kulia) juu ya uwasilishaji wa mapendekezo yao kwa ajili ya Katiba Mpya alipokutana naye kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani