Machinga wamtaka Lowassa achukue fomu ya urais
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ju65Khad3OM/VQRWA88cqUI/AAAAAAAHKVk/TsgpujtjNkY/s72-c/unnamed5.jpg)
Wawakilishi wa Shirika la Umoja wa wamachinga Tanzania SHIUMA,pamoja na viongozi wa UVCCM kata za jiji la Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa nyumbani kwake Ngarash Monduli mwishoni mwa wiki mara baada ya kumkabidhi mchango wa shilingi milioni moja ili achukue fomu kuwania urais kupitia CCM.Pia walimkabidhi Ngao na mkuki atakavyotumia katika safari yake ya matumaini.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Wanafunzi Mwanza wamtaka Lowassa achukue fomu
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
WANAFUNZI wa vyuo vya elimu ya juu mkoani Mwanza, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, achukue fomu ya kuwania urais ndani ya CCM muda utakapofika.
Wamesema kutokana na uchapakazi wa kiongozi huyo wamelazimika kutoa tamko lao kwa umma la kumwomba mbunge huyo wa Monduli asikilize kilio chao cha kuwania urais baada ya kutangazwa utaratibu na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Wanafunzi hao wa vyuo vya Mtakatifu Augustino (SAUT), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-W1VLfdyw1ys/VcjxoPAkWWI/AAAAAAAHv1E/eNWhhDZrjd4/s72-c/MMGL0137.jpg)
KAZI ZASIMAMA JIJINI DAR KUPISHA LOWASSA ACHUKUE FOMU YA KUWANIA URAIS
Msafara wa Mgombea huyo ulioanzia kwenye Ofisi za Chama cha Wananchi CUF Buguruni na kuishia kwenye Ofisi za CHADEMA Kinondoni Jijini Dar es salaam na kupelekea msongamano mkubwa wa watu ambao wengi wao ni wafuasi wakuu wa vyama vinavyounda...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/LOWASA-1.jpg)
LOWASSA ACHUKUA FOMU YA URAIS CHADEMA
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Lowassa achukua fomu za kuwania urais
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JqVx40AQmF8KgKXi2ZE4vSO1RUoB-s9R3CUyloRLrKFQJNCu-m3xg-MDssKTQ5GICpZAgJ0qVOp5ilWOZvtca*4/lowassa.jpg)
LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC
9 years ago
GPLLOWASSA, DUNI WARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/LOWASA-2.jpg)
LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS CHADEMA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/vboQU-MO6BM/default.jpg)
Lowassa achukua fomu za Urais Nec, maelfu wamsindikiza
EDWARD Lowassa, mgombea urais wa Chadema amesema, Rais Jakaya Kikwete ameharibu uchumi wa Tanzania.Akizungumza na wafuasi wa Chadema pia UKAWA katika ofisi za Chadema mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho jana mchana, Lowassa alisema;“Rafiki yangu Jakaya Kikwete ameuharibu uchumi wa nchi yetu,”“Wakati Rais Mkapa anaondoka madarakani kilo ya sukari ilikuwa Sh. 600 leo ni Sh. 2,300. Mchele ulikuwa Sh. 550 leo ni Sh. 2,300. Sembe ilikuwa Sh. 250 leo ni Sh. 1,200.”Aidha...
10 years ago
Habarileo11 Aug
Lowassa aipagawisha Dar, achukua fomu ya urais NEC
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vingine vitatu vya upinzani vinavyounda umoja unaofahamika kwa jina la Ukawa, Edward Lowassa jana alichukua fomu za kuwania rasmi nafasi hiyo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).