MADAI YA POLISI KUMUUA RAIA; MULONGO AWATAKA MISUNGWI KUSUBIRI UCHUNGUZI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiwatuliza wananchi wa Misungwi baada ya kifo cha Magata Edson.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e5ojRmBjrO8647OZFUAoBHYkFN9n2jjv7ghdZanj0txZT5EaFwL9CeghAVOFCnImLbH*JurIE57RzcagOLejEGLvCSNzO4Q5/lulu.jpg?width=650)
MADAI YA KUMUUA KANUMBA, LULU KIZIMBANI TENA
9 years ago
Bongo Movies22 Oct
Madai ya Kumuua Kanumba…Lulu Kizimbani Tena
MAMBO yameiva! Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ (20) yu mbioni kupanda tena Kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ishu yake ile ya madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Amani lina ripoti mkononi.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka ndani ya mahakama hiyo jijini Dar, kesi hiyo ilisimama kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wa...
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Uamuzi wa Mulongo, polisi wapingwa
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Buhari awataka raia Nigeria waache utundu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eSEQmF5r2SQ/Xk0_VtTP5VI/AAAAAAALeWM/JdjQhHCN0PAp6RhvzUztPF-uL6yfvt5mQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1AA-1-1024x682.jpg)
SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI WAKUU POLISI KUWAHOJI WATUHUMIWA WALIOPO MAHABUSU ZA POLISI NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-eSEQmF5r2SQ/Xk0_VtTP5VI/AAAAAAALeWM/JdjQhHCN0PAp6RhvzUztPF-uL6yfvt5mQCLcBGAsYHQ/s640/PIX-1AA-1-1024x682.jpg)
11 years ago
Habarileo14 Apr
Polisi yakanusha kumuua Mkuya
POLISI mkoani Tabora imekanusha kuhusika na mauaji ya Mbeyu Mkuya (35), kama inavyodaiwa na ndugu wa marehemu huyo.
10 years ago
Mtanzania02 May
Polisi ‘wameza jiwe’ tuhuma za kumuua Dk. Slaa
NA MWANDISHI WETU
MWENENDO wa uchunguzi dhidi ya madai ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutaka kuuawa na mlinzi wake binafsi, Khalid Kangezi, umezua shaka.
Hii inatokana na ukimya wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ambapo kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa limeshindwa kuwahoji watuhumiwa waliotajwa na Dk. Slaa.
Gazeti hili limebaini kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman...
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Polisi jela kwa kumuua mwanaharakati Rwanda
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Wananchi wamuua aliyetoroka baada ya kumuua polisi
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MTUHUMIWA Tissi Mallya ambaye alitoroka baada ya kumuua polisi, G.7168 Koplo Joseph Swai, ameauwa usiku wa kuamkia jana na wananchi alipokuwa amejificha akiwa na panga lenye damu lililotumika kwenye mauaji hayo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime alisema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Mauaji hayo yalitokea juzi asubuhi katika eneo la Chang’ombe Juu.
Kamanda Misime alisema baada ya Malya...