Wananchi wamuua aliyetoroka baada ya kumuua polisi
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MTUHUMIWA Tissi Mallya ambaye alitoroka baada ya kumuua polisi, G.7168 Koplo Joseph Swai, ameauwa usiku wa kuamkia jana na wananchi alipokuwa amejificha akiwa na panga lenye damu lililotumika kwenye mauaji hayo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime alisema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Mauaji hayo yalitokea juzi asubuhi katika eneo la Chang’ombe Juu.
Kamanda Misime alisema baada ya Malya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cv3cDJjmqoM/VB_242_YDqI/AAAAAAAGk8w/9P5G6LBYFUs/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
MTU MMOJA AUAWA NA WANANCHI BAADA YA KUMUUA MKEWE WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-cv3cDJjmqoM/VB_242_YDqI/AAAAAAAGk8w/9P5G6LBYFUs/s1600/unnamed%2B(27).jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea mnamo tarehe 20/09/2014 majira ya saa 23:30hrs katika Kijiji cha Mzogole Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la MWAJUMA D/O CHOMOLA mwenye umri wa miaka 48, Mgogo mkazi wa Mzogole aliuawa kwa kupigwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rFFi-SX8PjU1Ro0-*tdtsSn*ScOwX3olqUkkT8qBSyZ8vucqXGE5odPVEyCt45PfJyFdkNKF*guDT-Mo6KQuyD7-dvczOErZ/IMG20140818WA0000.jpg?width=650)
KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, DAR AKAMATWA
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Polisi wamuua mtu asiye na makao Marekani
10 years ago
Vijimambo25 Feb
HABARI KWA KINA KUHUSIANA NA VURUGU YA WANANCHI BAADA YA POLISI KUUA MTU MMOJA
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2634822/highRes/953708/-/maxw/600/-/t54iw4/-/kilolo.jpg)
Wananchi wakiangalia moto uliowashwa na watu wasiojulikana wakati wa vurugu baina ya polisi na wananchi katika mji mdogo wa Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa jana. Picha ya Mtandao HUKO ILULA MKOANI IRINGA
Kilolo. Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.Habari kutoka eneo la tukio zinasema kuwa wananchi waliokuwa na hasira walichoma moto magari yaliyokuwa yameegeshwa...
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Wananchi wadaiwa kumuua mama, mtoto Tabora
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mume ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa panga
11 years ago
Habarileo14 Apr
Polisi yakanusha kumuua Mkuya
POLISI mkoani Tabora imekanusha kuhusika na mauaji ya Mbeyu Mkuya (35), kama inavyodaiwa na ndugu wa marehemu huyo.