Polisi yakanusha kumuua Mkuya
POLISI mkoani Tabora imekanusha kuhusika na mauaji ya Mbeyu Mkuya (35), kama inavyodaiwa na ndugu wa marehemu huyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Wananchi wamuua aliyetoroka baada ya kumuua polisi
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MTUHUMIWA Tissi Mallya ambaye alitoroka baada ya kumuua polisi, G.7168 Koplo Joseph Swai, ameauwa usiku wa kuamkia jana na wananchi alipokuwa amejificha akiwa na panga lenye damu lililotumika kwenye mauaji hayo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime alisema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Mauaji hayo yalitokea juzi asubuhi katika eneo la Chang’ombe Juu.
Kamanda Misime alisema baada ya Malya...
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Polisi jela kwa kumuua mwanaharakati Rwanda
10 years ago
Mtanzania02 May
Polisi ‘wameza jiwe’ tuhuma za kumuua Dk. Slaa
NA MWANDISHI WETU
MWENENDO wa uchunguzi dhidi ya madai ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutaka kuuawa na mlinzi wake binafsi, Khalid Kangezi, umezua shaka.
Hii inatokana na ukimya wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ambapo kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa limeshindwa kuwahoji watuhumiwa waliotajwa na Dk. Slaa.
Gazeti hili limebaini kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman...
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Polisi Mbezi wadaiwa kumuua fundi ujenzi
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Polisi adaiwa kumuua rafiki yake kwa kipigo
11 years ago
CloudsFM06 Aug
INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MWANAYE
Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16).
Makene anadaiwa kutenda kosa hilo Julai 24, mwaka huu katika makazi ya polisi, Mtoni Kijichi, Dar es Salaam na anashikiliwa katika Kituo cha Chang’ombe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema marehemu Alerd alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Mbagala...
10 years ago
GPLMADAI YA POLISI KUMUUA RAIA; MULONGO AWATAKA MISUNGWI KUSUBIRI UCHUNGUZI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AuRRxvOL4xY/XtesOcC_kNI/AAAAAAALshA/qx5AlXlhYlAUUNuWIZyrb8p44qAHGwJJgCLcBGAsYHQ/s72-c/29c207d22aa64313c559ca903989666e.jpg)
JESHI LA POLISI LAKAMATA WATATU KWA TUHUMA ZA KUMUUA DEREVA WA UBER
![](https://1.bp.blogspot.com/-AuRRxvOL4xY/XtesOcC_kNI/AAAAAAALshA/qx5AlXlhYlAUUNuWIZyrb8p44qAHGwJJgCLcBGAsYHQ/s400/29c207d22aa64313c559ca903989666e.jpg)
Watuhumiwa hao ni Godson Laurent Mzaura,(29),Mkazi wa Mbezi Beach,Mpiga picha, Said Mohamed Mahadhi (38),Mkazi wa Afrikana,Fundi simu na Denis Urassa @ Pasua,(45), Mkazi wa Makongo Juu,Fundi simu.
Mnamo tarehe 26.05.2020 Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm lilipata taarifa kutoka kwa mke wa marehemu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5B-ypsnWBOk/Xrvm95noidI/AAAAAAALqEE/EFKPFfXM9pADMwBHW90bZ615-qmAbbHlgCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
WATU WANNE WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAO MZAZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-5B-ypsnWBOk/Xrvm95noidI/AAAAAAALqEE/EFKPFfXM9pADMwBHW90bZ615-qmAbbHlgCLcBGAsYHQ/s320/index.jpg)
JESHI la Polisi mkoani Katavi linawashikilia watu wanne,watatu wakiwa familia moja kwa tuhuma za kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni na sehemu za siri Baba yao Lumba Nhalima(57).
Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 3 usiku katika kijiji cha Kasekese wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi wakati marehemu akitoka kunywa pombe na kuelekea nyumbani.
Akithibitisha tukio hilo,Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Benjamin Kuzaga alisema, siku ya tukio watuhumiwa walimnywesha pombe...