Madaktari walivyojipanga msimu wa 2014/2015
Maumivu ya misuli, magoti na majeraha mbalimbali ni maradhi ambayo yamekuwa yakiwaandama wachezaji wa soka kwa nyakati tofauti, achilia mbali Ulaya.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMSIMU WA SIKUKUU DAR LIVE, WASANII WAELEZEA WALIVYOJIPANGA KUPOROMOSHA BURUDANI KALI
10 years ago
VijimamboKLABU YA RUVU SHOOTING YAUNGANA NA POLISI MORO SC KUSHUKA DARAJA LIGI KUU TANZANIA BARA MSIMU WA MWAKA 2014/2015.
![](https://ramadhaniabubakari.files.wordpress.com/2012/10/81.jpg?w=593&h=311)
Ndanda FC imefanikiwa kubaki ligi kuu Tanzania bara baada ya kuilaza Yanga SC bao 1-0 katika uwanja wa Nangwanda mjini Mtwara.
Kipigo walichopata Polisi Moro SC cha bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kimewafanya kupata tikiti ya kushuka daraja na kuungana na Ruvu Shooting.
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/00.1stand-united-Vs-mtibwa11.jpg)
Kwa upande wa Stend United yenyewe imepata matokeo mazuri ya bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting na kuinusuru timu hiyo kushuka daraja huku ikiiachia dhahama Ruvu Shooting.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/TFF-Tanzania-Prisons.jpg)
Kikosi cha Prison.
Klabu za Polisi Moro SC na Ruvu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWwkcbiaf7n95HdChjZ5-u7aZbPiIhzWY5*6DUIN1Eg-l3rKHU6MWaqqXKJbDu26rOr9azJyiYP0jjCx80291GBu/001.KITS.jpg?width=650)
VODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 14 ZA LIGI KUU KWA AJILI YA MSIMU WA 2014/2015
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.
Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.
Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;
Golikipa
Jack Butland -Stoke...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Pu0itxymJcM/U_Da3doJekI/AAAAAAAGAUA/YVesjeN0YUg/s72-c/unnamed%2B(16).jpg)
MSIMU WA KOROSHO KUANZA AGOSTI 20, 2014
9 years ago
Mwananchi07 Sep
Uhamisho mkubwa msimu wa 2015/16
11 years ago
Dewji Blog23 Jun
RC Mwanza azindua msimu wa ununuzi wa pamba 2014/15
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo.
Na Mwandishi Wetu
MKUU wa mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo, hivi karibuni amezindua rasmi msimu wa ununuzi wa pamba wa 2014/15 katika kijiji cha Isole Wilayani Sengerema.
Wadau wa msingi wa zao la pamba ambao ni pamoja na wanunuzi wa Pamba kupitia Chama cha Wafanyabiashara wa Pamba Tanzania (TCA), Wakulima kupitia Chama cha Wakulima wa Pamba Tanzania (TACOGA) Serikali kupitia Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika na Bodi ya Pamba pamoja na...
11 years ago
Dewji Blog04 Aug
SBL yatangaza rasmi msimu wa ‘Fiesta 2014’
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Ephraim Mafuru akigonga ‘cheers’ katika uzinduzi rasmi wa msimu wa Serengeti Feista 2014. Hafla hiyo ilifanyika Serena hoteli Dar es salaam.
SBL Corporate Relations Director, Evans Mlelwa, Rugambo Rodney, Serengeti Brand Manager, Ephrahim Mafuru Marketing Director for SBL , and Allan Chonjo, Meneja Masoko wa Serengeti kwa pamoja wakifanya ‘cheers’.
Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya bia ya Serengeti imetangaza kufungua rasmi msimu...
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Tunatarajia makubwa Ligi Kuu msimu wa 2014/15