Madaktari wapata idhini ya kupandikiza tumbo la Uzazi
Afueni kwa wanawake wenye matatizo ya kubeba ujauzito baada ya madaktari nchini Uingereza kupata idhini ya kupandikiza tumbo la uzazi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Madaktari kupandikiza uume Marekani
Madaktari katika Hospitali ya chuo kikuu cha Hopkins nchini Marekani wamepanga kufanya upasuaji kwa ajili ya kupandikiza uume kwa mpiganaji wa zamani aliejeruhiwa
11 years ago
MichuziSerikali kuendelea kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA)
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake kutokata tamaa katika kuwahudumia wajawazito nchini.
Katika hotuba yake iliyosomwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif Rashid katika uzinduzi wa Kongamano la 23 la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa mwaka wa wanachama Chama Cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA).
Kongamano hilo la siku tatu lilianza juzi na linamalizika leo, Dar es salaam ambapo Pinda alisema kuwa...
Katika hotuba yake iliyosomwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif Rashid katika uzinduzi wa Kongamano la 23 la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa mwaka wa wanachama Chama Cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA).
Kongamano hilo la siku tatu lilianza juzi na linamalizika leo, Dar es salaam ambapo Pinda alisema kuwa...
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Mafanikio, changamoto ya kupandikiza mimba
Juma lililopita tuliweza kuona namna matumizi ya Upandikizaji wa Mimba kwenye mji wa Uzazi Kimaabara (IVF) maarufu kama ‘test tube baby’ inaweza kuwa msaada wa kutatua tatizo la ugumba kwa wenza wawili.
9 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
AU yasubiri idhini ya bunge la Burundi
Wabunge nchini Burundi wameanza mjadala kuhusu hatua ya muungano ya Afrika wa kutuma kikosi cha wanajeshi wapatao 5000 cha kulinda amani nchini humo
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Cameron aomba idhini kukabili IS Syria
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ameiomba bunge idhini ya kukabili IS nchini Syria ilikumaliza uwezo wake wa kuivamia
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Idhini ya daktari kunywa pombe India
Licha ya jimbo la Gujarat India kupiga marufuku unywaji utengenezaji na unywaji pombe, takriban watu 60,000 wamepewa idhini ya kunywa pombe
10 years ago
Habarileo24 Feb
Kikwete amkabidhi Aga Khan Hati ya Idhini
RAIS Jakaya Kikwete amekabidhi Hati Idhini ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kwa Mkuu wa Taasisi ya Aga Khan Duniani, Aga Khan huku akisema ana imani chuo hicho kitasaidia kupunguza pengo la rasilimali watu katika nyanja za sayansi, hesabu na utabibu.
5 years ago
BBCSwahili27 Feb
Wanawake 48 watolewa vizazi bila idhini zao
Mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini ameiambia BBC jinsi alivyotolewa kizazi bila idhini yake
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania