MADAM MWAKA HUU BSS ISIWE NA LONGOLONGO
![](http://api.ning.com/files/9nG191KtIdjZ*D3yxaVUkHTbTKqa9YxtCv*gGY7mePg8Da4jyGoALVs4RfBZWPXRbmT3pcSEq5g-Qoxojwb*Vkxx8fNTo3Fk/ERICK.jpg?width=650)
KWAKOÂ Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen. Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na shughuli zako za kila siku za kulijenga taifa. kitaka kujua hali yangu, mimi sijambo. Mzima wa afya na ninaendelea na majukumu yangu ya kila siku. Nimekukumbuka leo kupitia barua, maana kitambo kidogo hatujakutana ana kwa ana kikazi. Nimekukumbuka Madam sababu natambua uwepo wa shindano lako kubwa la Bongo Star Search. Msisimko...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziFAINALI YA BSS 2015 KUFANYIKA OKTOBA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUn1km1JBUe76RrL15G1jK0jJs9N3IwnX9Fi0nEY7b0ktzhrJLhhlcUQOe581pxV7pf8l6LgMBL*co7F7WFcF1G4/b.jpg)
BSS: MADAM RITA ALIA NA BASATA
10 years ago
Mwananchi26 Jan
BSS haijafa, sasa kuja kivingine- Madam Rita Poulsen
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Madam Ritha atoa ujumbe kufunga mwaka
MKURUGENZI wa Kampuni ya Benchmark Production, waandaaji wa shindano la Bongo Star Search (BSS), Ritha Poulsen ‘Madam Ritha’ amesema ujasiri ni kitu cha muhimu katika maisha ya binadamu ambacho kitamfanya...
10 years ago
GPLMSHINDI WA BSS MWAKA 2013 ATINGA GLOBAL PUBLISHERS
11 years ago
GPLWEMA SEPETU 'MADAM' AKIWA RED CARPET DAR LIVE USIKU HUU
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu
Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.
Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.
Mbunge wa jimbo la...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Gc1eMcwTRSw/U2Nb54ZnPLI/AAAAAAAFe3I/tOs9qpcOP6c/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...