Madereva Dar-Tunduru kupimwa afya
VITUO vya maarifa sita vitakavyotoa huduma za afya vinatarajiwa kujengwa kando ya barabara kunusuru madereva wa masafa marefu kutoka Dar es Salaam hadi Tunduru. Meneja Mradi wa North Star Alliance anayeratibu ujenzi huo, Edger Mapunda alisema jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Wanafunzi 270 kupimwa afya
ZAIDI ya wanafunzi 270 wa Shule ya Msingi Viziwi Buguruni, jijini Dar es Salaam, wanatarajiwa kupima afya zao na kupatiwa matibabu.
Akizungumza na gazeti hili jana, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kuhudumia Viziwi Tanzania (TSD), Yasin Mawe, alisema wanafunzi hao watapimwa damu, mkojo, uzito na urefu.
"Tumeamua kuwapima afya ili kupata kumbukumbu sahihi na kufahamu maradhi yanayowasumbua ili kuwapatia dawa," alisema.
Alisema TSD kwa kushirikiana na wahisani...
5 years ago
Michuzi11 years ago
MichuziJK afungua nyumba za Watumishi wa Afya Matemanga, Tunduru, zilizojengwa na Mkapa Foundation
11 years ago
MichuziRais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Majambazi yaua, yapora Dar, Tunduru
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
TBL yapongezwa kwa kuboresha afya za madereva
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, ameipongeza Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa jitihada za kuhakikisha usalama barabarani na afya za madereva zinaimarika.
Kamanda Mpinga alitoa pongezi hizo jana jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kupokea hundi ya Sh. milioni 124.6 kutoka TBL ili kufanikisha wiki ya usalama barabarani na kufadhili upimaji afya za madereva wa masafa marefu.
Akizungumza baada ya kupokea fedha hizo, Kamanda Mpinga alisema kwa miaka saba...
9 years ago
VijimamboKAMANDA MPIGA AKABIDHI TBL,RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA
10 years ago
MichuziTBL YAMKABIDHI KAMANDA MPINGA RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA NCHINI
Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. akitoa shukrani kwa TBL...
10 years ago
MichuziTBL YAFANIKISHA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA WIKI YA NENDA KWA USALAMA