MADEREVA NCHINI KUENDELEA NA UTARATIBU WA AWALI KUHUISHA LESENI ZAO
.jpg)
Mwenyekiti wa Madereva Tanzania Clement Masanja (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo katika picha) leo jijini Dar es salaam ili kuwajulisha madereva wote nchini kuwa mwaka huu wamekubaliana na Mamlaka husika kuwa hakutakuwa na mafunzo kama ilivyoelezwa hapo awali. Kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga. Picha na MAELEZO_DAR ESALAAM
Na Pius Yalula-MAELEZO-Dar es salaam
Serikali imesema hakutakuwa na mafunzo kwa madereva wa malori na mabasi na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
WATAALAM WA AFYA WATAKIWA KUHUISHA LESENI ZAO

Msajili wa Baraza la Famasi Elizabeth Shekhalage akikagua moja ya stoo ya dawa kwenye hospitali.

Mfamasia kutoka kitengo cha huduma za dawa, wizara ya afya Daniel Pyuza akikagua moja ya stoo kwenye ziara ya katibu mkuu wa wizara hiyo
……………………………………………..
Na. Catherine Sungura-Kasulu.
Wataalam wa kada mbalimbali za afya nchini wametakiwa kuhuwisha leseni zao kila mwaka.
Hayo yamesemwa na msajili wa baraza la wafamasia kutoka wiza ya afya Elizabeth Shekhalage wakati akiongea na watumishi wa...
5 years ago
MichuziMADEREVA 13 WAMESIMAMISHIWA LESENI ZAO KWA MUDA WA MIEZI SITA
Kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Tanzania SACP Fotunatus Musilimu akiwa na dereva aliyekuwa anaendesha basi bila kufuata utaratibu na sheria za barabarani.
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Madereva 13 wamesimamishiwa leseni zao kwa muda wa miezi sita na kutokujihusisha na kazi ya udereva wa magari makubwa kwa kosa la kuvunja sheria za uslama barabarani kwa kuendesha
magari hayo kwa mwendo kasi.
Kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Tanzania SACP Fotunatus Musilimu ameeleza kuwa suala la ajari...
10 years ago
MichuziKAMANDA MPINGA-MADEREVA WALIOSABABISHA AJALI KWA UZEMBE KUFUTIWA LESENI ZAO.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
KIKOSI cha Usalama Barabarani kimesema wanazifuta leseni zote kwa madereva waliosababisha ajali kwa uzembe zikiwemo ajali za hivi karibuni.
Hayo ameyasema leo...
5 years ago
Michuzi
KAMPUNI YA LIQUID TELECOM'S KUENDELEA KUZIUNGANISHA KIDIGITAL NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA ILI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO

KAMPUNI ya Liquid Telecom's Afrika Mashariki imezihakikishia nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi zake kwa ukaribu na kawaida kupitia mgongo wake wa jumuiya ya nchi hizo katika mabadiliko yake ya kidigitali chini ya mwezi wa mmoja kutokana na janga la COVID- 19
Kwa mujibu wa kampuni imeeleza kuwa ndiyo inayoongoza katika mawasiliano na imewezesha wanachama wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanya kazi kwa ukaribu na kawaida licha ya...
10 years ago
Habarileo04 Apr
Madereva wanane wafutiwa leseni
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (SUMATRA) imewafutia leseni madereva wanane, waliosababisha ajali kwa uzembe na hawataruhusiwa kuendesha mabasi ya abiria.
11 years ago
Habarileo18 Oct
Madereva wanuka pombe kufutiwa leseni
KAMATI Maalumu iliyoundwa na Serikali kutathmini ongezeko la ajali za barabarani nchini, imependekeza madereva watakaokutwa wakinukia pombe, wafutiwe leseni.
11 years ago
Mtanzania12 Sep
Ukaguzi leseni na vyeti vya madereva waanza

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed Mpinga
ADAM MKWEPU NA CHRISANTA CHRISTIAN, DAR ES SALAAM
JESHI la Polisi jana limeanza kufanya ukaguzi wa leseni na vyeti vya madereva kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na nchi jirani Ubungo (UBT), jijini Dar es Salaam kufuatia ajali za barabarani nchini kuongezeka.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alisema kuwa ukaguzi huo una lengo la kuchunguza madereva ambao...
5 years ago
MichuziARUSHA KUANZISHA UTARATIBU WA KUCHUKUA SAMPULI NA KUWAPIMA MADEREVA WA MALORI MPAKA WA NAMANGA
Mkoa wa Arusha umeona umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kuchukua sampuli na kuwapima madereva wa Malori yanayopita mpaka wa Namanga mkoani Arusha wakitokea nchi jirani ya Kenya kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19.
Mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo amesema kuwa Sampuli zote zinazochukuliwa na wataalam wa Afya zimekuwa zinapelekwa Maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa ajili ya kupata majibu ya vipimo husika.
Tumechukua uamuzi huu ili kuwalinda wananchi...
10 years ago
Michuzi
Mzumbe yaendelea kuhuisha mtaala kuendana na mabadiliko nchini, Duniani