Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEREVA WATAKAOZIDISHA ABIRIA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI KUKIONA

 Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na Jeshi la Polisdi Nnchi zima kupambana na watu watakaovunja sheria ya usafirishaji wa watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba leo jijini Dar es Salaam.Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiJESHI la Polisi Nchini limewatahadharisha madereva  watakaozidisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sumatra yazuia vyombo vya usafiri wa majini

MAMLAKA ya Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imevizuia kutoa huduma kwa muda usiojulikana vyombo vyote vya usafirishaji wa majini vya mkoani hapa hadi hapo vitakapokaguliwa.

 

5 years ago

CCM Blog

MUONEKANO WA BARABARA ZA JUU UBUNGO DAR, VYOMBO VYA USAFIRI VYAANZA KUPITA


Ni Mei 30, 2020 ambapo Barabara za juu (Flyover ) iliyojengwa Ubungo Dar es Salaam  imeanza kufanya kazi ambapo vyombo vy usafiri vimeruhusiwa kupitia, hapa nimekusogezea picha 11 ujionee.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI WATIKISA NCHI LEO

Madereva wa Vyombo vya Usafirishaji katika maeneo mbalimbali hapa nchini, leo wameingia katika Mgomo wa kutotoa huduma hiyo, kwa kile kinachoelezwa Madereva hao kutakiwa kurudi vyuoni kwa mafunzo zaidi ya usalama barabarani.
Hali ya mgomo huo, umepelekea adha kubwa kwa abiria wa vyombo hivyo, hasa wale waliokuwa wakielekea mikoani, kwani katika Stendi kuu ya Mabasi ya Ubungo jijini Dar es salaam, hakuna basi hata moja lililoondoka huku daladala nazo zikiwa hazionekani kabisa vituoni.
Uongozi...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMO WA MADEREVA WA VYOMBO MBALIMBALI VYA MOTO WAANZA LEO


Muonekano wa abiria wakiwa stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam (Picha na Maktaba).
MADEREVA wa vyombo mbalimbali vya moto, nchi nzima leo asubuhi wamegoma kusafirisha abiria ili kuishinikiza serikali kuondoa kero mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa ajira za uhakika pamoja na agizo la kutaka kwenda kusoma.Awali kabla ya mgomo wa leo, Katibu wa Muungano wa vyama vya madereva Bw. Rashid Saleh, alisema baadhi ya kero zitakazopelekea mgomo wa leo ni pamoja na suala la kurudia kusoma...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakutana na Wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar

01

Afisa  habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia)akiwa tambulisha  Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo vya Habari nchini  katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyombo mbalimbali nchini.

004

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Fadhili Manongi  akifafanua jambo  kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini (hawapo pichani) juu ya Kanuni na taratibu za Mamlaka...

 

10 years ago

Michuzi

Madereva watakiwa kutotumia simu wakati wanaendesha vyombo vya moto

Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani nchini Kamanda Mohamed Mpinga,amewataka madereva nchini kuzingatia sheria za barabarani na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
Kamanda Mpiga, alitoa wito huo leo katika hafla ya kupokea pete maalum kutoka kampuni ya Vodacom ikiwa ni mwendelezo wa kampeni yake inayojulikana kama “Wait to Send” inayohamasisha madereva wa vyombo vya magari kuacha matumizi ya simu wanapokwa...

 

10 years ago

Michuzi

MIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA YATAMBULIWA , DC MBONI AWAPA USHAURI TBS KUKAGUA UBORA WA VYOMBO VYA USAFIRI

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi mkoani Iringa Bi Mboni Mhita  kushoto  akiwa na wajumbe wa kamati ya  ulinzi na usalama wilaya hiyo ya  Mufindi  katika  kuwatembelea wagonjwa katika Hospitali ya  wilaya ya  MufindiBaadhi ya  ndugu  wakichukua mwili wa ndugu  yao baada ya  kuutambua
Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto)  akimfariji  mmoja kati ya  majeruhi wa ajali ya  basi la Another G na lori  iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana  ,wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani