Madereva watishia kugoma wiki ijayo
Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (Tadwu) kimeazimia kufanya mgomo nchi nzima Agosti 17, mwaka huu ambao pia utahusisha daladala endapo madai yao hayatafikiwa katika kikao kitakachofanyika Alhamisi wiki hii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Apr
Madereva mabasi,malori watishia kugoma
MADEREVA wa malori na mabasi yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi, wametishia kugoma kufanya kazi kuanzia Ijumaa ijayo, ikielezwa ni kutaka kuishinikiza serikali kutatua changamoto zinazowakabili katika utoaji wa huduma za usafiri nchini.
10 years ago
CloudsFM28 Apr
Madereva wa mabasi ya abiria kugoma tena wiki hii
Mgomo wa Aprili 9, mwaka huu uliodumu kuanzia alfajiri hadi saa 7:00 mchana ulitikisa nchi na kuwaathiri abiria wengi waliokuwa wanasafiri kwenda maeneo mbalimbali ya nchi.
Jana Taboa walitangaza kusitisha utoaji huduma kuanzia kesho ikiwa ni hatua ya kupinga nauli mpya za mabasi zilizotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Chawaphata watishia kugoma
CHAMA cha Wamiliki wa Famasi nchini (Chawaphata), kimetishia kufanya mgomo wa kufunga maduka yao kama njia mojawapo ya kushinikiza kufanyiwa kazi kwa matatizo yanayowakabili kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa Chawaphata,...
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Wafanyabiashara Tunduma watishia kugoma
WAFANYABIASHARA wa Samaki na Dagaa Mamlaka ya mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya wamekusudia kugoma kutoa huduma kwa lengo la kuishinikiza serikali kupunguza viwango vya ushuru wa bidhaa hiyo....
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Wafanyakazi Chemba watishia kugoma
WAFANYAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wanakusudia kugoma kufanya kazi baada ya serikali wilayani humo kuzuia mishahara yao kwa miezi mitatu sasa kwa madai ya kutochangia sh...
10 years ago
Habarileo08 Aug
Mawakala wa Forodha nchini watishia kugoma
CHAMA cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kimetishia kugoma baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuzitaka kampuni hizo kuwa na Sh milioni 100 kama inataka kupata leseni ya uwakala.
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Waalimu Congo watishia kugoma endapo..!
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Askari Handeni watishia kugoma kusimamia vituo vya kupigia kura
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Madereva Mbezi mwisho kugoma
MADEREVA wa magari yanayotoa huduma ya usafiri kati ya kituo cha Mbezi Luis na Mkoa wa Pwani, wanatarajia kugoma wiki ijayo endapo Jeshi la Polisi litashindwa kuwaondoa wapiga debe katika...