Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani wachangishana kutetea kiwanja Mawenzi

Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, wameamua kutoa posho zao za kikao ili fedha hizo zitumike kukodi mawakili wa kushughulikia mgogoro wa kiwanja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wachangishana fedha kuita ‘Sangoma’

WANANCHI wa Kijiji cha Ipelo, Rungwe Mkoa wa Mbeya, wamechangishana fedha kwa ajili ya kumuita Mganga wa jadi ‘Sangoma’ kwa madai ya kutokea vifo vya kutatanisha vya wanafunzi. Wakizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

nyumba inauzwa tabata mawenzi, Dar es salaam

 Ina nyumba mbili ndani kubwa na ndogo na zote zipo ndani ya fensi na kila moja inajitegemea luku yake na zote mbili system ya maji inafanya kazi safi kabisa na ndani kuna kisima cha maji cha umeme na kuna matanki mawili moja lina lita 5000 na lingine lita 2000 na maji yake yananyweka hayana chumvi.Nyumba kubwa ina vyumba vitatu kimoja masteroom na viwili single na kuna puplic toilet ipo ndani pia kuna store jiko sebure kubwaa na siting room kubwa, wakati nyumba ya nyuma ina chumba sebule na...

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL YATEMBELEA MITAA YA AMANI, MAWENZI TABATA, DAR

Barabara  hii iliyoko Mtaa wa Mawenzi inapitika kwa shida kwa kujaa tope. Mwendesha bodaboda akipenya katika njia iliyojaa vikwazo vya kila aina.…

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: MGENI AKWAMA KATIKA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO

Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika kama Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro kwa kamba iliyonasa na kuwafanya wasiweze kushuka chini wala kwenda juu.

Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa kutumia njia ya Rongai - Kibo –Marangu safari ambayo ingewachukua siku tano.  Hadi sasa taarifa za awali...

 

11 years ago

GPL

MTALII KUTOKA UJERUMANI AKWAMA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO

Mlima Kilimanjaro. Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika kwa jina la Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro kwa kamba iliyonasa na kuwafanya wasiweze kushuka chini wala kwenda juu. Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa kutumia njia ya Rongai -...

 

10 years ago

Michuzi

JK afungua jengo la upasuaji katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua jengo la upasuaji katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro muda mfupi baada ya kulifungua leo.Kulia ni Naibu Waziri wa Afya Dkt.Steven Kebwe. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wauguzi wa hospitali ya rufaa ya Mawenzi mjini Moshi muda mfupi baada ya kufungua jengo la upasuaji na kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa wodi ya mama na watoto katika hospitali hiyo leo.(wanne kulia ni...

 

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI KUPITIA CCM WAJINADI MBELE YA WAJUMBE KATA YA MAWENZI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini Priscus Tarimo akijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Edmund Rutaraka akiomba kura mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha aijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mawenzi wakiwasikiliza wagombea.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani