Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachangishana fedha kuita ‘Sangoma’

WANANCHI wa Kijiji cha Ipelo, Rungwe Mkoa wa Mbeya, wamechangishana fedha kwa ajili ya kumuita Mganga wa jadi ‘Sangoma’ kwa madai ya kutokea vifo vya kutatanisha vya wanafunzi. Wakizungumza na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Madiwani wachangishana kutetea kiwanja Mawenzi

Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, wameamua kutoa posho zao za kikao ili fedha hizo zitumike kukodi mawakili wa kushughulikia mgogoro wa kiwanja.

 

9 years ago

Bongo5

Chris Brown kuita album yake ijayo jina la mtoto wake ‘ROYALTY’

Chris Brown (26) anajivunia kuwa baba ndio sababu amekuwa hafichi hizia zake juu ya mtoto wake wa mwaka mmoja. Kuonesha kiasi gani anampenda mtoto huyo wa kike, weekend iliyopita Breezy ametangaza jina la album yake itakayofata kuwa itaitwa jina la binti yake “Royalty”. Kwa maneno mafupi kupitia Twitter Breezy aliandika: MY NEW ALBUM WILL BE […]

 

11 years ago

GPL

SANGOMA AAIBIKA!

Na Richard Bukos na Issa Mnally Ama kweli uswazi hakuishi vijimambo! Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi Jinasa amepata aibu ya karne baada ya kunaswa ‘live’ na wake za watu kwenye gesti moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Tandika jijini Dar es Salaam. Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi akijutia baada ya kunaswa live.
Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: China yakerwa Trump kuita corona 'virusi vya China'

Rais wa Marekani Donald Trump ametumia neno hilo ingawa kumekuwa na wito wa kuepuka kunyanyapaa eneo au kundi fulani wakati huu wa maambukizi ya virusi vya corona.

 

11 years ago

GPL

SANGOMA AMFYEKA MTOTO NYETI

Stori: Haruni Sanchawa
NI jambo lililowaacha midomo wazi madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam ambapo mtoto Almasi mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi (pichani akiwa na muuguzi) kufikishwa hospitalini hapo akiwa amekatwa nyeti na mtu aliyedaiwa ni mganga wa kienyeji ‘sangoma’ na kuipeleka kusikojulikana. Mtoto Almasi mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi akiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgonjwa akimbilia kwa ‘Sangoma’

Mgonjwa aliyepooza nusu mwili ambaye alikuwa amelazwa Hospitali ya Rufani Bugando Mwanza, amejikuta katika hali ngumu baada ya kuruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na kidonda kikubwa sehemu ya makalio kilichotokana na kulala kwa muda mrefu kitandani bila kugeuzwa.

 

10 years ago

GPL

SANGOMA AZIMIA AKITOA MAJINI!

Stori: Denis Mtima
INASHANGAZA sana! Katika hali isiyokuwa ya kawaida mganga wa kienyeji ‘sangoma’ mmoja aliyefahamika kwa jina la Lambalamba amejikuta akiingia kwenye hatua ya nusu kifo kufuatia kupoteza fahamu baada ya kuelemewa na majini aliyokuwa akiyatoa shuleni. Sangoma mwenye usongo mwekundu akiingia kazini na timu yake kutuliza majini. Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni maeneo ya Kiluvya -...

 

11 years ago

GPL

SANGOMA AINYWESHA FAMILIA DAWA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro MGANGA mmoja wa jadi, hivi karibuni alikusanya umati mkubwa wa watu baada ya kuinyeshwa dawa familia nzima ya mwanamke aliyemleta kwa lengo la kumfanyia uganga ili kumrejesha mtoto wake aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha mjini hapa. Mwajuma Bakari Tindwa mwenye umri wa miaka 52, mkazi wa Mwembesongo aliyemleta mganga akiandaliwa dawa ili kumrejesha mtoto aliyepotea. Tukio hilo lilitokea...

 

9 years ago

GPL

AUNTY LULU ANASWA KWA SANGOMA

Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa kwa sangoma mkoani Tanga ‘akitengenezwa’ ili kung’arisha nyota yake inayodaiwa kushuka.Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa kimemshuhudia msanii huyo akiwa kwa sangoma maeneo ya Handeni alikokaa kwa muda wa wiki moja sasa. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. “Mh, mmejuaje hayo? Kweli nipo Tanga kwa ndugu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani