Maelfu waachwa bila makao DRC
Maelfu ya watu nchini DRC wameachwa bila makao baada ya nyumba zao kuharibiwa na moto Mashariki mwa nchi hiyo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 May
Watu 100,000 waachwa bila makao Sudan
Umoja wa mataifa unasema kuwa mapigano katika jimbo la Unity State nchini Sudan Kusini yamewaacha takriban raia 100,000 bila makao
10 years ago
Vijimambo12 Dec
CCM YAWASAMBARATISHA UKAWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, YAZOA MAELFU YA VITI BILA KUPIGWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-p35l6gt1wTg/VIsCBs2DETI/AAAAAAAAsAc/09TD7AyRAG0/s1600/akisalimia%2Bwenyeji.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-Q6du6HJbrXg/VIsCMCd63OI/AAAAAAAAsA8/JjMf1_V_1bM/s1600/mashabiki%2Bwa%2Bccm.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-kbQPDHu-riY/VIsCKPhtnMI/AAAAAAAAsA0/rA1YktzWhOE/s1600/mashabiki%2Bwa%2Bccm%2B2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-iDc9LJBv3d0/VIsCDN96E9I/AAAAAAAAsAk/CN21fp_tq8U/s1600/baada%2Bya%2Bkuwasili.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-HNlvstP8i8Q/VIsCHo47LuI/AAAAAAAAsAs/f3HGzwRKlWg/s1600/lwiza%2Bmbutu%2Bna%2BTwanga%2Bwakikamua.jpg)
10 years ago
Michuzi12 Dec
CCM YAWASAMBARATISHA UKAWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA DAR, YAZOA MAELFU YA VITI BILA KUPIGWA
Na Bashir Nkoromo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa kesho, kikiwa kimeshajizolea maelfu ya nafasi ambazo wagombea wake wamepita bila kupingwa. Akihutubia kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi huo, katika Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani, jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alisema, kulingana na takwimu CCM imepita bila kupingwa katika vijiji 2708, mitaa 644, na vitongoji zaidi ya...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Isihaka, Kessy waachwa nje Stars Maboresho
Licha ya kuonyesha kiwango cha juu kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi iliyomalizika Januari 13, mabeki wa Simba, Hassan Isihaka na Hassan Kessy, hawamo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Maboresho kinachoundwa na wachezaji wenye umri chini ya miaka 22, kilichotangazwa jana.
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Ivo, Kiongera waachwa safari ya Simba Sauzi
Kiungo mshambuliaji Raphael Kiongera na kipa Ivo Mapunda wameachwa kwenye kikosi cha Simba kinachoondoka leo kwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya muda kujiandaa na mechi yao dhidi ya watani, Yanga, Oktoba 18.
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Wajumbe Tadea waachwa kwenye ‘mataa’ Dar
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama cha Tadea kutoka mikoa mbalimbali wameushutumu uongozi wa chama hicho kwa kuwatelekeza baada ya kumalizika kwa kikao hicho cha juu na kuwafanya waishi maisha magumu jijini Dar es Salaam.
11 years ago
GPLMBEYA CITY, ASHANTI WATOKA BILA BILA
Wachezaji wa Mbeya City (kulia) na Ashanti wakiwania mpira huku mvua kali ikiendelea kunyesha kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Mbande nje kidogo ya Jiji la Dar. Steven Mazanda (8) na Deogratius Julius (mwenye mpira) wachezaji wa Mbeya City wakiwania mpira na mchezani wa Ashanti.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania