Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAELFU YA WANANCHI WA HALMASHAURI TATU ZA MKOA WA MORO WANUFAIKA NAMPANGO WA MKURABITA

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk.Rajabu Rutengwe kushoto akifurahia jambo na Mratibu wa Mkurabita Saraphia Mgembe.  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk.Rajabu Rutengwe mwenye suti nyeusi akiongoza kucheza ngoma ya Sangula ya wapogolo baada ya kuzindua utoaji wa hati miliki za kimila chini ya Mkurabita wilayani Kilombero. Baadhi ya wananchi mbalimbali wa wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro wakimsiliza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAELFU YA WANANCHI WAMLAKI RAIS KIKWETE GAIRO, KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO

Rais Kikwete akihutubia umati wa watu waliojitokeza  kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. Rais Kikwete akipata picha…

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali yaua, magari yakwama kwa saa tatu Dar- Moro

 Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Bwawani Barabara ya Chalinze - Morogoro.

 

10 years ago

GPL

MEMBE AVUNA MAELFU YA WADHAMINI MKOA WA RUVUMA‏

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma iliyopo mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini...

 

10 years ago

Michuzi

Acacia Mining yaingia makubaliano na halmashauri tatu nchini

Makamu wa Rais wa Acacia, Deo Mwanyika (wa pili kushoto waliokaa) akitiliana saini ya Makubaliano na wawakilishi wa halmashauri za Wilaya ya Msalala na halmashauri ya Mji wa Kahama. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala, Patrick Karangwa anaemfuatia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Felix Kimaryo. Wanaoshuhudia ni Kamishna Msaidizi wa Madini- Ukaguzi wa Migodi, Ally Samaje (wa kwanza kulia waliosimama) na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya (wa...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA MAREHEMU TYSON WATOLEWA HOSPITALI YA MKOA MORO

Baadhi ya ndugu na jamaa wakiutoa mwili wa marehemu George Tyson mochwari mchana wa leo katika Hospitali ya Mkoa ya Morogoro. ...Wakiupakia mwili wa marehemu katika gari. Mwili wa marehemu George Tyson…

 

11 years ago

Michuzi

MAELFU WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN GABRIEL TUPA


 MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE NDANI YA MAKAZI YAKE

 WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA HUYO. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Acacia Mining yaingia makubaliano na halmashauri tatu nchini ya ulipaji wa ushuru wa huduma (Service levy)

Kampuni ya Acacia Mining Ltd imetiliana saini ya Makubaliano (MoU) na Halmashauri za Wilaya ya Tarime, Kahama na Msalala ili kuweza kutekeleza ulipaji wa ushuru wa huduma (service levy) kwa kiwango cha asilimia 0.3 ya mapato ghafi ya kampuni hiyo kwa mwaka mzima kwa mujibu wa sheria ya Serikali za Mitaa.  Tukio hilo limefanyika tarehe 10 Juni, 2015 jijini Dar es Salaam makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini na kushuhudiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, Makamu wa Rais wa...

 

11 years ago

GPL

MAELFU WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN GABRIEL TUPA‏

Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara John Gabriel Tupa ukitolewa ndani ya nyumba yake.


Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani