Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEMBE AVUNA MAELFU YA WADHAMINI MKOA WA RUVUMA‏

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma iliyopo mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MEMBE AUTINGISHA MKOA WA MANYARA, APATA WADHAMINI LUNDO

 Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Ole Porokwa akitambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) kwa umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Manyara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo wilayani Babati Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200. Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI MKOA WA MBEYA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 877. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Bernard Membe apata udhamini wa kishindo katika mkoa wa Ruvuma

SONY DSC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 5,000. (Picha zote na John Badi).

SONY DSC

Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

11 years ago

GPL

MAELFU WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN GABRIEL TUPA‏

Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara John Gabriel Tupa ukitolewa ndani ya nyumba yake.


Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara.…

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU AVUNA KURA ZA MKOA WOTE WA TABORA KWENDA CCM,SASA KUPAA KUELEKEA MKOA MWINGINE HAPO KESHO

Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi katika moja ya Majimbo mkoa wa Tabora hii leo wakati wa ziara yake ya kuzunguka Mkoa wa Tabora wote kwaajili ya kuinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi na Kuwaombea Kura Madiwani,Wabunge na Rais mtarajiwa wa Chama cha Mapinduzi.Mwigulu Nchemba katika harakazi za kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo kwa Mkoa wa Tabora na Nchi nzima hii leo akiwa Tabora Jimbo la Igunga.Chagua Almasi Maige kwa Maendeleo ya Tabora Kaskazini.Mjumbe wa timu ya Ushindi ya CCM...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA TWENDE NA MEMBE‏

Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Wananchi wamejitokeza kwa wingi huku msanii mzee Yusuph na kikundi cha ngoma ya Deda wakitoa burudani ya kijadi.… ...

 

5 years ago

Michuzi

MKOA WA MOROGORO KUUNGANISHWA NA MKOA WA NJOMBE NA RUVUMA KWA BARABARA ZA LAMI

 Na Mwandishi Wetu

NAIBU Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, amesema sasa Serikali iko katika hatua za kuunganisha mkoa wa Morogoro na mikoa jirani ya Njombe na Ruvuma kwa barabara ya lami ili kufungua mikoa hiyo yenye uzalishaji mwingi wa mazao, misitu na chakula.

Amezungumza hayo akiwa katika eneo la Kisegesa iliyopo katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro baada ya kukagua eneo lililokarabatiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS), ambalo lilipata athari kubwa za mvua...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AENDELEA "KUTISHA" MAELFU WAFURIKA KUMSIKILIZA HUKO RUVUMA

MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia maelfu ya wananchi akiwa kwenye gari, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015 ambapo alihutubia mkutano wa kampeni ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni akiwa kwenye mkoa watatu baada ya kuzindua rasmi kampeni zake jijini Dar es Salaam. Mh. Lowassa ameendelea kuonyesha "nguvu" zake kisiasa kutokana na maelfu ya wananchi...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA LEO,MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA


 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Songea waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini  humo mkoani Ruvuma,Mgombea huyo ambaye anawaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika awamu ya tano.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-RUVUMAMgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa mji wa Songea, ambapo alisema katika serikali yake wakulima hawatokopwa mazao yao, mbolea zitapatikana kwa wakati,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani