Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maelfu ya watu walala nje Nepal

Maelfu ya watu nchini Nepal wamelala nje kufuatia tetemeko la ardhi lililosababisha maafa na uharibifu mkubwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Nepal walala nje kwa siku ya pili

Maelfu ya raia wa Nepal wamelazimika kulala nje kwa siku ya pili mfulululizo

 

10 years ago

BBCSwahili

Maporomoko yawaua watu 15 Nepal

Takriban watu 15 wamefariki huko Nepal baada ya maporomoko yaliosababishwa na mvua kubwa kuvizika vijiji sita huko kaskazini mashariki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko lawaua watu 40 Nepal

Wakuu nchini Nepal sasa wamethibitisha kuwa idadi ya watu waliokufa kutokana na tetemeko jingine jipya lililotokea nchini humo, imepanda na kufikia zaidi ya watu 40

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko jipya Nepal laua watu 40

Tetemeko jipya lililotokea Nepal limeua zaidi ya watu 40.na helkopta ya kikosi cha majini ya Marekani,haijulikani iliko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko laua zaidi ya watu 3,600 Nepal

Watu zaidi ya 3,600 wameripotiwa kufa kutokana na tetemeko la ardhi nchini Nepal lililoikumba nchi hiyo Jumamosi

 

10 years ago

GPL

TETEMEKO LA ARDHI LAIKUMBA TENA NEPAL NA KUUA WATU WANNE

Wananchi wa Kathmandu wakiwa nje ya nyumba zao baada ya tetemeko la ardhi la leo. TETEMEKO kubwa la ardhi katika vipimo vya richa 7.3 limeitikisa tena nchi ya Nepal leo ikiwa ni takribani majuma mawili tangu tetemeko la awali lililoua zaidi ya watu 8000. Wafanyakazi huko New Delhi, India wakiwa nje ya ofisi zao baada ya kutokea tetemeko la leo. Watafiti wanasema kuwa kitovu cha tetemeko hilo kilikuwa katika Mji wa Namche...

 

10 years ago

GPL

WATU 560 WAUAWA KWA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL

Majengo yaliyoporomoshwa kwa tetemeko la ardhi nchini Nepal. Majeruhi baada ya kuokolewa wakati wa tetemeko hilo. Tetemeko kubwa la ardhi limekumba eneo lililo Magharibi mwa Nepal karibu na Mji Mkuu wa Kathmandu .Maafisa wa polisi wamethibitisha kuwa zaidi ya watu 560 wamefariki dunia huku wengi wakiwa hawajulikani waliko na kwamba huenda idadi hiyo ikaongezeka. Shirika la utafiti la Marekani limesema kuwa tetemeko hilo la...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU ZAIDI YA 2,000 WAFARIKI DUNIA KUTOKANA NA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL

 Siku moja baada ya kukumbwa na tetemeko kubwa la ardhi, Nepal imeshuhudia tetemeko lingine kubwa lililoelezewa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 2,000 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kathmandu.  Maofisa nchini humo wamesema kuwa vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya kuwatafuta watu walionusurika, na wanahofu kuwa idadi ya watu waliofariki dunia inaweza kuongezeka.Wananchi wakiwa wamekusanyika katika maeneo ya wazi mitaani mjini Kathmandu baada ya kutokea kwa tetemeko hilo. Tetemeko hilo...

 

10 years ago

Michuzi

IDADI YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KWENYE TETEMEKO LA ARDHI NEPAL YAZIDI KUONGEZEKA

 Wanajeshi wa nchini Nepal wakiendelea kutafuta miili ya watu waliopoteza maisha katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal. Baadhi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika 
katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal.Kwa msaada wa mtandaoMAMLAKA ya nchini Nepal imesema kuwa zaidi ya watu 3300 wamesemekana kufairki dunia kutokana na Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea jumamosi katika mji wa Kathmandu nchini  humo.Waokoaji wanchi hiyo wamesema wanaendelea kuchunguza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani