Maendeleo ya kuridhisha ya Tehama Tanzania
Huenda usijue nini kinaendelea wakati unatumia mtandao ofisini kwako au nyumbani kupitia kompyuta, tabiti au simu ya mkononi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Jul
‘Tumieni tehama kwa maendeleo’
VIJANA nchini wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao binafsi na ya nchi.
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Uwekezaji mdogo wazorotesha maendeleo ya Tehama
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Hali ya raia wa Syria si ya kuridhisha
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Naondoa shilingi mpaka waziri atakaponipa majibu ya kuridhisha
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Cxd6Ymt_sYs/VMywkVF5c2I/AAAAAAAHAgA/09DW3oEOhus/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-Cxd6Ymt_sYs/VMywkVF5c2I/AAAAAAAHAgA/09DW3oEOhus/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3a417g2wFyw/VMywc-Ek_yI/AAAAAAAHAf4/nRPrFqscG4A/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rBtvKRurUGI/VMywoulaVMI/AAAAAAAHAgU/rxnhJgCeMmg/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia watiliana saini ya kusimamia sekta ya TEHAMA
Katibu mkuu wa Wizara ya Sayansi Pro. Patrick Makungu (kushoto) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Huawei Tanzania, Bw. Zhan Yongquan wakitiliana saini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya TEHAMA nchini. Wanaoshuhudia ni katikati ni Balozi wa china nchini Tanzania, Balozi LvYouguin, akifuatiwa na Waziri wa Mawasiliano Sayansi na technolojia, Prf. Makame Mbarawa (kulia) na kushoto kwao ni waziri wa afya wa Zanzibar. Bw. Mahamoud Thabit Kombo.
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Huawei Tanzania...
9 years ago
Michuzi17 Aug
WATAALAM WA TEHAMA NCHINI TANZANIA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI, WELEDI NA UBUNIFU
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/178.jpg)
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu akifungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Serikali Mtandao leo jijini Arusha.Zaidi ya wataalam wa TEHAMA 500 kutoka Wizara, Idara, Wakala,Taasisi, Halmashauri wako jijini Arusha kujadili mafanikio na changamoto za Serikali mtandao.
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/254.jpg)
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt.Jabiri Bakari akitoa ufafanuzi kuhusu Serikali Mtandao kwa washiriki wa Mkutano wa kwanza wa Serikali Mtandao unaofanyika katika...
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Maendeleo ya China, Tanzania tujifunze nini? - 2