Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naondoa shilingi mpaka waziri atakaponipa majibu ya kuridhisha

Hii ni sentensi tunayoisikia zaidi masikioni mwetu Watanzania wakati huu wa Bunge la Bajeti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maswali mengi kuliko majibu mpaka lini?

Ikifikia wakati kila uamkapo asubuhi unajikuta na maswali mengi ya kujiuliza kuhusu maisha kuliko majibu, hapana shaka kitakachofuata ni kuchanganyikiwa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Dakika 20 zilizompa maswali na majibu Kinana alipotembelea mpaka wa Tanzania na Burundi

.Asimama kwa dakika 20 kuangalia shughuli za kila siku mpakani mwa Tanzania na Burundi, ajiuliza maswali mengi na kupata majibu, atoa ushauri kwa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe.

.Ajionea maisha halisi ya watu wa mpakani mwa Tanzania na Burundi

.Ashindwa kuelewa kwa nini soko la mifugo lilikufa

.Ashangaa viongozi kutokuwa wabunifu hasa katika fursa zinazoweza kuwasaidia wananchi

Untitled

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amesimama mpakani mwa Tanzania na Burundi katika kijiji...

 

11 years ago

Habarileo

Wiki ya majibu ya Waziri wa Fedha

Waziri wa  Fedha, Saada Mkuya SalumWAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum, anasubiriwa wiki hii kutegua kitendawili cha hoja za wabunge, kuhusu punguzo la kodi katika mishahara, vyanzo vipya vya mapato na utekelezaji wa miradi wa maendeleo.

 

9 years ago

MillardAyo

Kavumbagu kauzwa na AzamFC? waziri Muhongo na umeme TZ je? majibu ninayo hapa

Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme pamoja na kupunguza gharama za upatikanaji wa nishati hii, ni ahadi ambayo imetolewa na Waziri wa Nishati Prof. Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye kituo cha kuzalishia umeme cha Mtera mpakani mwa Dodoma na Iringa. Baada ya kuona kina cha maji kimepungua Mtera na uzalishaji umesimama […]

The post Kavumbagu kauzwa na AzamFC? waziri Muhongo na umeme TZ je? majibu ninayo hapa appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

Maendeleo ya kuridhisha ya Tehama Tanzania

Huenda usijue nini kinaendelea wakati unatumia mtandao ofisini kwako au nyumbani kupitia kompyuta, tabiti au simu ya mkononi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali ya raia wa Syria si ya kuridhisha

watu milioni kumi na mbili nchini Syria watahitaji misaada wakati wa majira ya baridi.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA SAA 30, ATAKA KUPATA MAJIBU KUHUSU KIWANDA CHA NYAMA MBEYA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya hayajafanyiwa kazi.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Agosti Mosi, 2014) wakati akizindua Kongamano la siku tatu la Uwekezaji la Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya la mwaka 2014 ambalo limeanza leo kwenye ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini Mbeya.
“Mbeya inaweza kuwa na fursa kubwa ya viwanda vya usindikaji nyama, unga wa mahindi ili kuongeza thamani ya...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SHONZA ATOA VIFAA VYA SHILINGI MILIONI 10 SONGWE


Naibu Waziri Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Daniel Shonza mapema leo akiwa na mtoto mwenye ulemavu Mary Mwakanyamale ambaye amempatia kiti maalumu cha watu wenye Ulemavu, Naibu Waziri Shonza ametoa vifaa mbalimbali vya michezo, Elimu na Walemavu vyenye thamani ya shilingi milioni 10,325,000 kwa Mkoa wa Songwe.Naibu Waziri Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Daniel Shonza mapema leo akimkabidhi Kompyuta Mkuu wa Shule ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani