Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kavumbagu kauzwa na AzamFC? waziri Muhongo na umeme TZ je? majibu ninayo hapa

Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme pamoja na kupunguza gharama za upatikanaji wa nishati hii, ni ahadi ambayo imetolewa na Waziri wa Nishati Prof. Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye kituo cha kuzalishia umeme cha Mtera mpakani mwa Dodoma na Iringa. Baada ya kuona kina cha maji kimepungua Mtera na uzalishaji umesimama […]

The post Kavumbagu kauzwa na AzamFC? waziri Muhongo na umeme TZ je? majibu ninayo hapa appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUTEMBELEA MIRADI YA UMEME

Waziri wa Nishati na Madini akiulizia utekelezaji wa umeme katika kijiji cha Kamgendi katika siku yake ya kwanza ya siku 6 za ziara katika Wilaya zote za Mkoa wa MaraMeneja wa TANESCO mkoani Mara, Henry Byabato (kulia) akifafanua usambazaji wa umeme vijijini katika mkoa huoWananchi wakimsikiliza

 

9 years ago

MillardAyo

Video yenye magoli yote manne ya Yanga vs Stand United ninayo hapa

Kama ulikua busy na weekend iliyopita moja ya mechi zilizokupita ni pamoja na ya Yanga vs Stand United, nimekurekodia magoli yote kwenye hii video hapa chini utayaona…. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa […]

The post Video yenye magoli yote manne ya Yanga vs Stand United ninayo hapa appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APATA MAPOKEZI MAKUBWA WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA. AITWA “MZEE WA NGUZO” NA KUKABIDHIWA ZAWADI KWA KUSAMBAZA UMEME KWA KASI KUBWA WILAYANI HUMO

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu.

 Wakazi wa kijiji cha Ndoleleji  wilayani Kishapu wakimsikiliza kwa makini  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). Profesa Muhongo ameahidi kuwapatia umeme kabla  ya tarehe 30 Aprili, mwaka huu.

 Wakazi wa Bubiki wilayani Kishapu wakimkabidhi  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto)  zawadi ya mbuzi...

 

11 years ago

Habarileo

Hakutakuwa na mgao wa umeme - Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema hakutakuwa na mgawo wa umeme nchini na bei ya umeme itapungua.

 

9 years ago

Mwananchi

Muhongo: Tatizo la umeme ni uchakavu wa mitambo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema tatizo la uzalishaji umeme kwenye mabwawa ni uchakavu wa mitambo baada ya kufanya ziara na naibu wake, Dk Menard Kalemani kwenye vituo vya New Pangani na Hale mkoani Tanga.

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo achoshwa umeme wa bei juu

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kanda ya Ziwa kuhakikisha wanauingiza mkoa wa Kagera katika Gridi ya Taifa baada ya kubainika nchi inaingia gharama kubwa kununua umeme kutoka Uganda.

 

9 years ago

Mtanzania

TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo

muhongo_clipNA FLORENCE SANAWA, MTWARA

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.

Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.

“TANESCO wamekuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Miradi ya umeme ikamilike haraka - Muhongo

Profesa Muhongo.WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka wakandarasi wanaojenga miradi ya umeme, kuikamilisha haraka kabla ya Aprili 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo aagiza umeme bure Tarime

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameagiza kutolewa kwa umeme bure kwenye Kituo cha Ushirika wa Kutokomeza Ukeketaji kilichopo Kata ya Gorong’a, wilayani Tarime Mkoa wa Mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani