Maeneo yaliyojitenga kupewa uhuru Ukraine
Rais wa Ukraine Petro Poroshenkpo amesema kuwa atayapa uhuru zaidi maeneo yaliyoasi Mashariki ya nchi ila kwa masharti
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Wastaafu Mwenge kupewa maeneo
Serikali kupitia mrajisi wa vyama vya ushirika, imekiwezesha Chama cha Ushirika cha Ujenzi wa Nyumba Mwenge (MHCS Ltd), kupata eneo la kiwanja chenye ukubwa wa ekari 800 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa wanachama na vitega uchumi vingine katika eneo la Kibiki, Chalinze Mkoa wa Pwani.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA
Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.
11 years ago
VijimamboTUMETOKA MBALI TUKO UHURU...TUJIVUNIE NA KUULINDA UHURU WETU DEC 6 TUNASHEREKEA PAMOJA
EARLY BIRD TICKETS FOR $75 ON SALE NOW UNTIL NOV. 10THREGULAR PRICE $100 AFTER NOV. 10THPRICE INCLUSIVE OF:*3 Course Dinner*Diamond & WCB Dancers Live Performance*Ultra Exclusive Red Carpet Feat. Premiere Host*Free Professional Photography Pictures*Elegant Ambiance & Settings*Cash Bar*Ample ParkingFOR TICKETS VISIT: WWW.DIAMONDUSATOUR.COM
9 years ago
Michuzi
MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA



11 years ago
Mwananchi17 Jun
Kesi za watoto kupewa kipaumbele
Mahakama imefanya mabadiliko katika kanuni za uendeshaji wa mashauri ya watoto, kwa kuandaa kanuni mpya kwa lengo la kuharakisha usikilizwaji na uamuzi wa kesi zinazowahusu.
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Walima miwa kupewa hatimiliki
Wakulima wa miwa wa vijiji 10 vya Wilaya za Kilosa na Kilombero mkoani Morogoro, wameanza kupimiwa mashamba yao ili wapatiwe hatimilki za kimila.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
10-May-2025 in Tanzania