Wastaafu Mwenge kupewa maeneo
Serikali kupitia mrajisi wa vyama vya ushirika, imekiwezesha Chama cha Ushirika cha Ujenzi wa Nyumba Mwenge (MHCS Ltd), kupata eneo la kiwanja chenye ukubwa wa ekari 800 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa wanachama na vitega uchumi vingine katika eneo la Kibiki, Chalinze Mkoa wa Pwani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Wastaafu Anglikana kupewa pensheni
KANISA la Anglikana Dayosisi ya Tanga, limeanzisha mfuko wa malipo ya uzeeni (pensheni), kwa watumishi wake yatakayowasidia baada ya kustaafu. Hayo yalisemwa na Askofu wa Kanisa hilo, Mahimbo Mndolwa alipozungumza...
11 years ago
BBCSwahili10 Sep
Maeneo yaliyojitenga kupewa uhuru Ukraine
10 years ago
GPLMVUA YAFURIKISHA MITARO MAENEO YA BAMAGA-MWENGE, DAR
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Wastaafu wamteka JK
RAIS Jakaya Kikwete amehujumiwa na viongozi wakuu wastaafu waliomlazimisha kuachana na msimamo wa muundo wa muungano wa serikali tatu na kukumbatia serikali mbili zilizopendekezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa...
11 years ago
Habarileo19 Aug
Wastaafu kukopeshwa
BENKI ya Posta Tanzania kwa kushirikiana na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, wamezindua mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu.
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Wastaafu wataka mafao
WASTAAFU wa iliyokuwa Tanganyika Packers, wameitaka serikali kuwalipa mafao yao kabla ya kuruhusu Shirika la Nyumba (NHC), kubomoa nyumba zao. Wakizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, wazee...