MAFUNDI BINAFSI WA UJENZI WAIPONGEZA SERIKALI KUWAPATIA FURSA

NA MWAMVUA MWINYI, CHALINZE
MAFUNDI binafsi wa ujenzi katika Kitongoji cha Mbukwa Kijiji cha Lugoba, Kata ya Lugoba na Kijiji cha Mbwewe Kata ya Mbwewe Chalinze ,Bagamoyo Pwani, wamesema serikali imewapatia fursa ya ujenzi wa miradi mbalimbali,hali inayowasaidia kujiongezea kipato.
Wakizungumza katika Kitongoji cha Mbukwa na Changarika wilayani hapo, mafundi Rajabu Mdoe na Haruni Mohamed walisema ,hatua hiyo imewapatia pia nafasi ya kuonyesha uwezo na ujuzi wao katika kujenga vyoo na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziFORUMCC WAIPONGEZA SERIKALI KWA JITIHADA ZAKE ZA UJENZI WA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME UNAOTOKANA NA JOTO ARDHI

Mratibu wa Miradi wa Shirika la ForumCC Henry Kazula(kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa shirika hilo Rebecca Muna wakisikiliza maswali ya...
10 years ago
MichuziWAZAZI NA WANAFUNZI WAIPONGEZA GLOBAL EDUCATION LINK KWA KUWAPATIA VYUO BORA VYA NJE YA NCHI
Mkurugenzi wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel akiongea na Mwanafunzi ambae aliambatana na wazazi wake (kulia) kupata huduma ya vyuo vya nje ya nchi katika ofisi yao iliyopo ndani ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Bw. Sourabh Chaudhary ambaye Meneja Miradi wa Chuo Kikuu cha Lovely cha nchini India naAfisa Masoko...
10 years ago
MichuziBARAZA LA BIASHARA MKOA WA DODOMA LASISITIZA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ILI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA DODOMA
11 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Sekta binafsi, umma zatakiwa kutumia fursa
WADAU wa sekta ya umma na binafsi mkoani hapa, wametakiwa kutumia fursa zilizopo kujiimarisha kibiashara na kutoa maendeleo. Mkuu wa Mkoa huo, Kapteni Mstaafu Assery Msangi, alitoa rai hiyo hivi...
10 years ago
Michuzi
Wachimbaji madini wadogo waipongeza Serikali

11 years ago
Habarileo03 Jan
Serikali kuwapatia eneo wachimbaji wadogo Nzega
SERIKALI imeahidi wachimbaji wadogo katika mgodi mdogo wa dhahabu Mwanshina wilayani Nzega, mkoani Tabora kuwapatia leseni ya uchimbaji, ikiwemo kuwapatia eneo maalumu la kuchimba.
10 years ago
Habarileo26 Jun
Wazee Moro waipongeza serikali kwa pensheni
ASASI isiyokuwa ya Kiserikali ya wazee wa mkoa wa Morogoro (MOROPEO) inayojishughulisha na uboreshaji wa masuala ya wazee kimkoa, imeipongeza serikali kwa kusikiliza kilio chao cha muda mrefu baada ya kuanza kuwalipa pensheni.
9 years ago
MichuziSerikali yaahidi kuwapatia vipimo zaidi wahanga wa mgodi wa Nyangalata
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Omar Chambo amewaagiza Madaktari wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama kuandaa utaratibu wa kuwawezesha wahanga wa Mgodi wa Nyangalata kwenda Hospitali za rufaa kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa afya zao.
Mhandisi Chambo aliyasema hayo alipowatembelea wahanga hao waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama kutokana na ajali ya kufukiwa na kifusi na kufanikiwa kuokolewa baada ya kuishi chini ya ardhi kwa...
9 years ago
StarTV12 Nov
Serikali yaanza kuwapatia misaada waathiriwa Athari za upepo songea
Serikali Wilayani Songea katika mkoa wa Ruvuma imetoa pole kwa WANANCHI waliopatwa na Maafa baada ya Nyumba zao kuezuliwa na Upepo ulioambatana na Mvua kali uliotokea katika Wilaya hiyo hivi karibuni.
Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesya amesema Kamati ya Maafa Wilaya ya Songea imeweza kukabiliana na janga hilo kwa kuanza kutoa Msaada kwa Kaya 8 zilizokumbwa na maafa hayo.
Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesiya amesema Kamati ya Maafa Wilaya ya Songea baada ya kuona hali mbaya ya Kaya 8...