Serikali yaahidi kuwapatia vipimo zaidi wahanga wa mgodi wa Nyangalata
Remija Salvatory na Nuru Mwasampeta
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Omar Chambo amewaagiza Madaktari wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama kuandaa utaratibu wa kuwawezesha wahanga wa Mgodi wa Nyangalata kwenda Hospitali za rufaa kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa afya zao.
Mhandisi Chambo aliyasema hayo alipowatembelea wahanga hao waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama kutokana na ajali ya kufukiwa na kifusi na kufanikiwa kuokolewa baada ya kuishi chini ya ardhi kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
DC MPESYA AWAMWAGIA SIFA WAFANYAKAZI MGODI WA BUZWAGI, NI KATIKA SHEREHE ZA KUWAPATIA TUNZO

Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kumpatia zawadi za kimila, Shuka ya rubega, mkuki na ngao, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon, (kulia), wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi waliohudumu kwa muda mrefu kwenye kampuni hiyo, na wengine 10 walizawadiwa kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera mpya ya Acacia ya tabia sita (six desired behavior), kama kipimo cha utendaji bora wa kazi ambapo ni pamoja na kushirikiana...
9 years ago
StarTV17 Nov
Wahanga wa mgodi nyangarata wasimulia walivyoweza kuishi kwa siku 41 wakila wa dudu
Wahanga wa maafa ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Nyangarata wilayani Kahama mkoani Shinyanga takribani Siku 41 wakiwa chini ya Ardhi wamesema kuwa waliofanikisha kunusuru maisha yao kwa kula wadudu walipokuwa katika shimo hilo.
Hata hivyo kati ya wahanga 6 mmoja aliyetambulika kwa jina la Mussa Supana alipoteza maisha na watano walinusurika na kulazwa kwenye Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Kahama, huku viungo vyao vikiwa vimekakamaa na hali zao bado taabani kufuatia kukosa...
10 years ago
GPLAIRTEL KUWAPATIA VIJANA ZAIDI YA 500 ELIMU YA UJASIRIAMALI MKOANI ARUSHA
11 years ago
Habarileo03 Jan
Serikali kuwapatia eneo wachimbaji wadogo Nzega
SERIKALI imeahidi wachimbaji wadogo katika mgodi mdogo wa dhahabu Mwanshina wilayani Nzega, mkoani Tabora kuwapatia leseni ya uchimbaji, ikiwemo kuwapatia eneo maalumu la kuchimba.
11 years ago
Uhuru Newspaper
NHC yaahidi kufanya makubwa zaidi
NA MOHAMMED ISSA
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limedhamiria kuyabadilisha maeneo ya jiji la Dar es Salaam na mikoa mingine nchini baada ya kuzindua ujenzi wa miji midogo.
Limesema miradi hiyo itakapokamilika itabadilisha mandhari ya maeneo mbalimbali nchini na kuyafanya kuwa ya kisasa.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, kwenye jukwaa la uwekezaji lililoshirikisha baadhi ya wakuu wa mikoa na wadau mbaliambali.
Mchechu alisema wataanza na ujenzi...
5 years ago
Michuzi
MAFUNDI BINAFSI WA UJENZI WAIPONGEZA SERIKALI KUWAPATIA FURSA
MAFUNDI binafsi wa ujenzi katika Kitongoji cha Mbukwa Kijiji cha Lugoba, Kata ya Lugoba na Kijiji cha Mbwewe Kata ya Mbwewe Chalinze ,Bagamoyo Pwani, wamesema serikali imewapatia fursa ya ujenzi wa miradi mbalimbali,hali inayowasaidia kujiongezea kipato.
Wakizungumza katika Kitongoji cha Mbukwa na Changarika wilayani hapo, mafundi Rajabu Mdoe na Haruni Mohamed walisema ,hatua hiyo imewapatia pia nafasi ya kuonyesha uwezo na ujuzi wao katika kujenga vyoo na...
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Ufaransa yaahidi misaada zaidi kwa Tanzania
AFD ni Taasisi ya kifedha ya Ufaransa na ndiye mtekelezaji Mkuu wa misaada ya kimaendeleo ya nchi hiyo kwa nchi zinazoendelea na zile zenye ngome ya Ufaransa zilizopo katika nchi nyingine duniani kote.
Taasisi hii inatoa fedha kwa miradi ya maendeleo katika zaidi ya nchi 90 zikiwemo nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mwandishi wa makala hii alifanya mahojiano na Mkurugenzi wa taasisi ya AFD kwa nchi za Afrika Mashariki, Yves Boudot kama ifuatavyo.
Raia Tanzania: Kwa faida ya...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
NMB yaahidi semina zaidi kwa wajasiriamali
BENKI ya NMB imesema itaendelea kuendesha semina ya mikopo kwa wajasiriamali ili kuwajengea uwezo wa elimu ya kuziendeleza biashara zao. Hayo yalisemwa na mkuu wa kitengo cha mikopo kwa wajasiriamali...
9 years ago
StarTV13 Nov
Wakazi Rorya waishukuru Serikali ya awamu ya tano kuwapatia msaada
Wakazi wa vijiji vya Baraki na Kenyamsana wilayani Rorya mkoani Mara waishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kuwapatia msaada wa mahindi tani elfu 25 baada ya kukumbwa na maafa ya mvua. Mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali ilisababisha mazao yao kuchukuliwa na maji na nyumba zaidi ya 170 kuezuliwa paa. Wananchi zaidi ya1,080 wa kijiji cha baraki na kenyamsana wilayani rorya wanao hitaji msaada wa chakula zaidi ya tani 50 za mahindi ili kupunguza tatizo la upungufu wa chakula,...