Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafunzo kwa madereva yasimamishwa rasmi

Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed MpingaJESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema kuanza kwa mafunzo ya madereva ambao leseni zao zimekwisha muda wake kutategemea kukamilika kwa mitaala ya mafunzo hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MADEREVA BODABODA NA WAJASIRIAMALI MAKETE

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akitoa hotuba yake wakati akifunga mafunzo kwa madereva bodaboda wilayani Makete. Mafunzo hayo yametolewa na shirika la APEC  Madereva bodaboda wakifurahia kupatiwa vyeti vya mafunzo hayo.  Bi Rehebian Mahenge ambaye alikuwa katibu katika mafunzo hayo akisoma risala mbele ya mgeni rasmi  Bi Mahenge akimkabidhi risala mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika mafunzo hayo. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Michuzi

TAMKO LA SERIKALI KUHUSU MPANGO WA MAFUNZO KWA MADEREVA KUPITIA CHAMA CHA TADWU.

WIZARA YA KAZI NA AJIRA
1.   Serikali imepata taarifa za kuwepo kwa mpango wa mafunzo kwa madereva nchini kote, ulioandaliwa na Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania-Tanzania Drivers Workers Union (TADWU) kuanzia wiki ijayo. Mpango huo umeelezwa kuwa njia mbadala ya tishio la mgomo lililotolewa na viongozi wa Chama hicho hapo awali, ili kuweza kupata suluhisho la malalamiko yao.
 Malalamiko hayo yalihusu Mkataba ya Ajira inayokidhi matakwa ya kisheria, nyongeza ya posho na viwango vya...

 

10 years ago

StarTV

Mv. Victoria yasimamishwa kwa matengenezo ya kina.

Na Maliganya Charahani,

Mwanza.

 

Wakazi wa mikoa ya Mwanza na Kagera watalazimika kutumia usafiri wa barabara kusafiri wao pamoja na mizigo yao kutokana na Serikali kusimamisha safari za meli ya Mv. Victoria ili ifanyiwe matengenezo makubwa kutokana na  kuwa na hitilafu kwenye injini zake.

Meli ya Mv. Serengeti ambayo huchukua nafasi ya MV. Victoria nayo iko katika matengenezo ambayo yanaweza kuchukua zaidi ya mwezi na hivyo kutokuwepo kwa usafiri wowote kutoka Mwanza hadi Bukoba kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WASIO KATIKA SEKTA RASMI

1Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa ...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA TAASISI YA UONGOZI YA AFRIKA MASHARIKI KWA MWAKA 2014

Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Taasisi ya Uongozi ya Afrika Mashariki, Prof. Rwekaza Mukandala akimkaribisha Waziri Membe kufungua rasmi mafunzo hayo. Wengine katika picha ni Dkt. Benson Bana (wa kwanza kulia), Mhadhiri na Mratibu wa Mafunzo hayo kwa mwaka 2014 na Prof. Betram Mapunda (wa kwanza kushoto). Waziri Membe akitoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo. Sehemu  ya Wanafunzi wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) alipowahutubia. Sehemu nyingine ya Wanafunzi...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO KUHUSU HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO YAANZA RASMI KANDA YA KUSINI

 Mtaalam kutoka  Kitengo cha Leseni, Wizara ya Nishati na Madini, Charles Gombe akielezea hatua za Wizara katika  kuboresha huduma za leseni za madini kwa njia ya mtandao (Online Mining Cadastre Transactional Portal; OMCTP) kwa wachimbaji wa madini (hawapo pichani) mjini Mtwara. Lengo la mafunzo hayo lilikuwa ni kuwapa uelewa  wachimbaji wa madini kuhusu  huduma hiyo pamoja na kuwasajili. Baadhi ya wachimbaji wadogo  wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa na...

 

11 years ago

GPL

MAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI YA FUNGWA RASMI

Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu. Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia. (Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)…

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua rasmi majengo ya taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania kwa ajili ya kuzindua Taasisi hiyo iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2014.(Picha na OMR).

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tatu kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF yaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wasio katika sekta rasmi

1

Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani