Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mv. Victoria yasimamishwa kwa matengenezo ya kina.

Na Maliganya Charahani,

Mwanza.

 

Wakazi wa mikoa ya Mwanza na Kagera watalazimika kutumia usafiri wa barabara kusafiri wao pamoja na mizigo yao kutokana na Serikali kusimamisha safari za meli ya Mv. Victoria ili ifanyiwe matengenezo makubwa kutokana na  kuwa na hitilafu kwenye injini zake.

Meli ya Mv. Serengeti ambayo huchukua nafasi ya MV. Victoria nayo iko katika matengenezo ambayo yanaweza kuchukua zaidi ya mwezi na hivyo kutokuwepo kwa usafiri wowote kutoka Mwanza hadi Bukoba kupitia...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mafunzo kwa madereva yasimamishwa rasmi

Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed MpingaJESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema kuanza kwa mafunzo ya madereva ambao leseni zao zimekwisha muda wake kutategemea kukamilika kwa mitaala ya mafunzo hayo.

 

11 years ago

Michuzi

MV KIGAMBONI KUSIMAMA KWA MATENGENEZO, MV MAGOGONI NA MV LAMI KUENDELEA NA HUDUMA

Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) umetangaza kukipeleka kwenye matengenezo makubwa kivuko cha Mv Kigamboni, kinachotoa huduma ya kuvusha watu na magari kwenda na kurudi Kigamboni jijini Dar es salaam.Aidha huduma za uvushaji watu pamoja na magari zitaendelea kutolewa na vivuko vya Mv Magogoni pamoja na Mv Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika. Ofisa Habari wa Temesa, Theresia Mwami alimwambia mwandishi jana kuwa wakala huo unaomba radhi kwa usumbufu ambao wananchi wanaotumia...

 

9 years ago

Habarileo

Chelsea yasimamishwa na Spurs

KLABU ya Tottenham imeendeleza kutopoteza mchezo kwenye Ligi Kuu ya England, lakini ilikosa nafasi ya kujiweka nafasi ya nne kwenye msimamo baada ya kutoka sare ya bila kufungana na Chelsea.

 

11 years ago

Dewji Blog

MV Kigamboni kusimama kwa matengenezo, MV Magogoni na MV Lami zikiendelea kutoa huduma

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda kwenye matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia siku ya jana.

Stitched Panorama

Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa kutumia vivuko vya MV. Magogoni pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.

Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.

Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu

TEMESA.                     ...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KUZIMWA KWA MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI KUTOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA


SHIRIKA LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO),LINAWATANGAZIA  WAKAZI WA JIJI LA DAR-ES-SALAAM NA MJI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI  KUWA, MTAMBO WA KUZALISHA MAJI WA RUVU CHINI UMEZIMWA KWA SAA 24 KUANZIA ASUBUHI YA TAREHE 01.03.2015. 
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU CHINI KUMETOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA LA INCH 54 ENEO LA MATANKI YA CHUO KIKUU.
MATENGENEZO YANAENDELEA NA YANATARAJIA KUKAMILIKA BAADA YA SAA 24.
 KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YATAKOSA MAJI:MJI WA BAGAMOYO, VIJIJI VYA...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA DAWASCO JUU KUENDELEA KWA MATENGENEZO KWENYE MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI

MNAMO TAREHE 23, 24 NA 25 JANUARI 2015, SHIRIKA LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO) ILIZIMA MTAMBO WA RUVU CHINI ILI KURUHUSU MKANDARASI KUUNGANISHA BOMBA JIPYA NA LA ZAMANI (CROSS –SECTION). HATA HIVYO BAADA YA KAZI KUKAMILIKA NGUVU YA MAJI ILISABABISHA KUYUMBISHA SEHEMU ILIYOUNGANISHWA AWALI.
HALI HII IMESABABISHA HUDUMA YA MAJI KUKOSEKANA KWENYE BAADHI YA MAENEO YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA ALHAMISI 29/01/2015   KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YAMEKOSA MAJI:
MJI WA...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni wakati wa kuihoji Serikali kwa kina

Hakuna shaka, safari ya Dodoma imewadia na saa ya kukuna vichwa kwa viongozi wetu imetimia. Sina shaka, Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi kisiasa, utakuwa umeanza kuchangamka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani