MV Kigamboni kusimama kwa matengenezo, MV Magogoni na MV Lami zikiendelea kutoa huduma
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda kwenye matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia siku ya jana.
Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa kutumia vivuko vya MV. Magogoni pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.
Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu
TEMESA. ...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMV KIGAMBONI KUSIMAMA KWA MATENGENEZO, MV MAGOGONI NA MV LAMI KUENDELEA NA HUDUMA
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni jana jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.
Mtendaji Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
MV Kigamboni kuanza kutoa huduma leo
HATIMAYE kivuko cha MV Kigamboni kinatarajiwa kuanza kutoa huduma rasmi leo kwa wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, baada ya kuteseka kwa takribani wiki mbili wakati kilipokuwa kwenye matengenezo....
10 years ago
Habarileo25 Jan
Mbunge Kigamboni azungumzia Mv Magogoni
MBUNGE wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile ameiomba Wizara ya Ujenzi kukifanyia matengenezo ya haraka kivuko cha Mv Magogoni ambacho kimekuwa kikipata hitilafu ya mara kwa mara na hivyo kuhatarisha usalama wa wananchi wanaotumia kivuko hicho.
9 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi27 Jan
Dhoruba kubwa ya theluji na upepo mkali kupelekea kusimama kwa huduma za umma kaskazini mashariki ya Marekani
By Abou Shatry Washington DC
Zaidi ya watu 60 million wataathirika kutokana na kimbunga kikubwa cha upepo unaoambatana na unyeshaji wa theleji katika eneo la kaskazini mashariki ya Marekani.
Kwa mujibu wa kitengo cha hali ya hewa nchini Marekani, imetaja maeneo ambayo yataathiriwa na dhoruba hiyo, ya...
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Airtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa watejaâ€
MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akipokea tuzo ya ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao kutoka kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Leadership Award bwana Kishore Bollakpalli (kushoto). Airtel Tanzania imejishindia tuzo mbili za ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja.
Yajishindia tuzo kwa matumizi bora katika kutoa huuduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja
Dar es Salaam, Jumanne...
10 years ago
Michuzi14 Dec
PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE
Balozi wa PSPF Bw.Mrisho Mpoto alionesha tuzo iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (ISSA) kwa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa ajili ya kwa kutumiaTeknolojia ya Habari na Mawasilino katika utunzaji wa kumbukumbu za wateja na kwa kuwasiliana na wateja wake kwa kutumia simu za mikonono, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu.
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Hospitali kutoa huduma kwa mtandao
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, amesema wizara yake kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wataunganisha hospitali zote nchini kupata huduma ya matibabu kwa njia...