Hospitali kutoa huduma kwa mtandao
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, amesema wizara yake kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wataunganisha hospitali zote nchini kupata huduma ya matibabu kwa njia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Hospitali ya Amana yaanza kutoa huduma kwa njia ya mtandao
9 years ago
StarTV24 Nov
Daktari wa Hospitali ya Bukombe afukuzwa kazi kwa kukataa kutoa huduma
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Amani Mwenegoha amemfukuza kazi daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Bukombe Johanne Mkobwe kwa madai ya kukataa kutoa huduma kwa mtoto wa miezi sita aliyefikishwa Hospitalini hapo akiwa na hali mbaya kiafya.
Mtoto huyo Johson Manyama alifikishwa majira ya saa kumi asubuhi novemba 22 na wazazi wake na kumkuta daktari wa zamu amelala na alipoamshwa aliwafukuza na kuwaambia wasubiri hadi saa mbili yeye anapumzika.
Inadaiwa mtoto Johson alizidiwa mahira ya saa kumi...
10 years ago
MichuziHOSPITALI YA AGA KHAN YAADHIMISHA MWEZI WA UFAHAMU WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA KUTOA BURE HUDUMA YA UPIMAJI
Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-E92NZ9u9hco/VW-zVYDF_9I/AAAAAAAHb0M/73BUu8vW1nc/s72-c/172.jpg)
HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR KUENDELEA KUTOA HUDUMA MASAA 24-THABIT KOMBO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-E92NZ9u9hco/VW-zVYDF_9I/AAAAAAAHb0M/73BUu8vW1nc/s320/172.jpg)
Wizara ya Afya Zanzibar imesema Kitengo cha Mifupa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kinaendelea kufanya kazi zake za kutoa Matibabu Masaa 24 kama kawaida kwa kufuata utaratibu maalum uliowekwa Hospitalini hapo.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani wakati alipokuwa akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua...
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Hospitali za Apollo kutoa huduma za kiafya saa 24 kila siku ulimwenguni kote
![](http://2.bp.blogspot.com/-3JZvsorUO9E/Vld4HZh5TrI/AAAAAAAAIPE/BHC6BibJMx0/s640/Ms%2BSangita%2BReddy.jpg)
Bi. Sangita Reddy, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali za Apollo.
Na Mwandishi Wetu ,
Kurahisisha huduma za afya ulimwengu kote, watojia wakubwa wa huduma za afya kundi la hospitali za Apollo limebuni njia mpya madhubuti ya utoaji wa huduma za afya inayoitwa; Ask Apollo, njia bora mpya mahususi kwa wagonjwa walio mbali. Hii inathibitisha kupiga hatua zaidi kwa hospitali za Apollo na katika uwanja wa afya ulimwenguni.
Jitihada hizi kutoka hospitali za Apollo zitajenga mahusiano rahisi ya...
10 years ago
Habarileo06 Sep
Hospitali kuunganishwa mfumo wa tiba kwa mtandao
SERIKALI ina mpango wa kuziunganisha hospitali zote katika mfumo wa matibabu kwa njia ya mtandao ili wananchi waweze kutibiwa kwa wakati na kwa gharama nafuu. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa alisema hayo juzi mjini hapa wakati akifungua mkutano wa siku mbili uliohusisha wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), madaktari na wadau mbalimbali. Profesa Mbarawa alisema, mfumo huo utamwezesha mgonjwa ambaye yupo kijijini au hospitali ya mbali...
11 years ago
Habarileo08 Jul
Ilala kutoa leseni kwa mtandao
HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala jana imezindua utumiaji mitandao katika utoaji wa leseni ya biashara. Meya wa Manispaa hiyo, Jerry Silaa, alizindua mtandao huo jana katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.