MV KIGAMBONI KUSIMAMA KWA MATENGENEZO, MV MAGOGONI NA MV LAMI KUENDELEA NA HUDUMA
Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) umetangaza kukipeleka kwenye matengenezo makubwa kivuko cha Mv Kigamboni, kinachotoa huduma ya kuvusha watu na magari kwenda na kurudi Kigamboni jijini Dar es salaam.Aidha huduma za uvushaji watu pamoja na magari zitaendelea kutolewa na vivuko vya Mv Magogoni pamoja na Mv Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika. Ofisa Habari wa Temesa, Theresia Mwami alimwambia mwandishi jana kuwa wakala huo unaomba radhi kwa usumbufu ambao wananchi wanaotumia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
MV Kigamboni kusimama kwa matengenezo, MV Magogoni na MV Lami zikiendelea kutoa huduma
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda kwenye matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia siku ya jana.
Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa kutumia vivuko vya MV. Magogoni pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.
Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu
TEMESA. ...
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni jana jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.
Mtendaji Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...
10 years ago
Habarileo25 Jan
Mbunge Kigamboni azungumzia Mv Magogoni
MBUNGE wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile ameiomba Wizara ya Ujenzi kukifanyia matengenezo ya haraka kivuko cha Mv Magogoni ambacho kimekuwa kikipata hitilafu ya mara kwa mara na hivyo kuhatarisha usalama wa wananchi wanaotumia kivuko hicho.
10 years ago
MichuziTAARIFA KUTOKA DAWASCO JUU KUENDELEA KWA MATENGENEZO KWENYE MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI
HALI HII IMESABABISHA HUDUMA YA MAJI KUKOSEKANA KWENYE BAADHI YA MAENEO YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA ALHAMISI 29/01/2015 KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YAMEKOSA MAJI:
MJI WA...
9 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi27 Jan
Dhoruba kubwa ya theluji na upepo mkali kupelekea kusimama kwa huduma za umma kaskazini mashariki ya Marekani
By Abou Shatry Washington DC
Zaidi ya watu 60 million wataathirika kutokana na kimbunga kikubwa cha upepo unaoambatana na unyeshaji wa theleji katika eneo la kaskazini mashariki ya Marekani.
Kwa mujibu wa kitengo cha hali ya hewa nchini Marekani, imetaja maeneo ambayo yataathiriwa na dhoruba hiyo, ya...
10 years ago
Habarileo04 Jun
Serikali kuendelea kuboresha huduma kwa wazee nchini
KUANZISHWA kwa taaluma maalumu za wazee (Geatric Care) katika Chuo Kikuu cha Sayansi Shirikishi cha Muhimbili ni sehemu ya juhudi mbalimbali za serikali za kuboresha huduma kwa wazee.
11 years ago
MichuziMBUNGE WA KIGAMBONI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KIGAMBONI KUANGALIA MAENDELEO YA TIBA YA KANSA YA KIZAZI KWA KINAMAMA
10 years ago
MichuziHUDUMA YA TRENI YA DELUXE KUSIMAMA KATIKA KITUO CHA NGURUKA KUANZIA TRENI ITAKAYOANDOKA DAR JUMAPILI IJAYO MEI 17, 2015
Kwa taarifa hii ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na Wakazi wa maeneo yanayozunguka kituo cha Nguruka, shime wajitokeze kwa wingi kukata tiketi za safari kwa mujibu wa mahitaji yao . Halikadhalika safari za deluxe zitakuwa wiki...