Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge Kigamboni azungumzia Mv Magogoni

Kivuko cha MV MagogoniMBUNGE wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile ameiomba Wizara ya Ujenzi kukifanyia matengenezo ya haraka kivuko cha Mv Magogoni ambacho kimekuwa kikipata hitilafu ya mara kwa mara na hivyo kuhatarisha usalama wa wananchi wanaotumia kivuko hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MV KIGAMBONI KUSIMAMA KWA MATENGENEZO, MV MAGOGONI NA MV LAMI KUENDELEA NA HUDUMA

Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) umetangaza kukipeleka kwenye matengenezo makubwa kivuko cha Mv Kigamboni, kinachotoa huduma ya kuvusha watu na magari kwenda na kurudi Kigamboni jijini Dar es salaam.Aidha huduma za uvushaji watu pamoja na magari zitaendelea kutolewa na vivuko vya Mv Magogoni pamoja na Mv Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika. Ofisa Habari wa Temesa, Theresia Mwami alimwambia mwandishi jana kuwa wakala huo unaomba radhi kwa usumbufu ambao wananchi wanaotumia...

 

11 years ago

Dewji Blog

MV Kigamboni kusimama kwa matengenezo, MV Magogoni na MV Lami zikiendelea kutoa huduma

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda kwenye matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia siku ya jana.

Stitched Panorama

Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa kutumia vivuko vya MV. Magogoni pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.

Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.

Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu

TEMESA.                     ...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua Kiota kipya Mji Mwema Kigamboni

  Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile akikata utepe kufungua rasmi kiota kipya Mji Mwema Kigamboni. Kiota hicho kinaitwa  Fursat Dhahabiyya.
 Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya Kilichopo Mji Mwema Kigamboni Mwonekano wa Ndani wa Kiota Hicho

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua kipya Mji Mwema Kigamboni cha Fursat Dhahabiyya.

  Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile akifunguaRasmi (Wa Pili Kulia)kiota kipya Mji Mwema Kigamboni kinachoitwa Fursat Dhahabiyya. Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya Kilichopo Mji Mwema Kigamboni Mwonekano wa Ndani wa Kiota Hicho

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KIGAMBONI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KIGAMBONI KUANGALIA MAENDELEO YA TIBA YA KANSA YA KIZAZI KWA KINAMAMA

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (mwenye fulana ya mistari mbele) akizungumza na baadhi ya kinamama wakazi wa Mji wa Kigamboni waliojitokeza kwa wingi kwenye Kituo cha Afya Kigamboni kwa ajili ya kupatiwa Huduma ya Uchunguzi na Tiba ya Kansa ya Mlango wa Kizazi kwa kina mama inayoendelea kutolewa leo kituoni hapo.   Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile akimuuliza Muuguzi wa zamu namna zoezi hilo la Utoaji wa Huduma ya Uchunguzi na Tiba ya Kansa...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA KIGAMBONI AZINDUA NA KUCHANGIA KIKUNDI CHA AMANI GROUP KINGUGIA

 Dk. Faustine Ndungulile akiwa na akina mama wa Amani Group Kingugia wakati wa uzinduzi huo.  Akina mama wa Amani Group Kingugia wakiwa kwenye picha ya pamoja.  Mlezi wa Amani Group Kingugia, Fatuma Shija akitoa shukrani.…

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile akisalimia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika jijini Dar es Salam.  Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe Mwelimishaji wa Chama cha Mapinduzi  (CCM) na Mwenyekiti wa Wazazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa Hadhara ambapo Mgeni Rasmi ni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile.…
...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR ES SALAAM

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akizungunza na  Mamia waliojitokeza   katika mkutano wa hadhara ulio fanyika Kigamboni  Dar es Salaam jana.
Dk. Faustine Ndugulile akizawadiwa sare ya kitenge na muweka hazina wa kikundi cha Jitegemee Vikoba Group Happiness mfinanga wakati walipokuwa wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa mkutano huo (kulia) ni Mwenyekiti Tungi Kata ya Kigamboni Joram Msuya.Wanachi wakiwa katika mkutano huo wakifatilia maongezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani