Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafuriko yawaua watu 170 Malawi

Takriban watu 170 wanaripotiwa kuaga dunia kwenye mafuriko ambayo yameikumba Malawi kwa karibu mwezi mmoja sasa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAFURIKO YAUA WATU 170 MALAWI

Nyumba ikiwa imezingilwa na maji. TakribanI watu 170 wanaripotiwa kuaga dunia kwenye mafuriko ambayo yameikumba Malawi kwa karibu mwezi mmoja sasa.Watu wengine 100,000 wamelazimika kuhama makwao. Mapema wiki hii rais Peter Mutharika alitangaza thuluthi moja ya nchi hiyo kuwa katika hali ya hatari na kuomba msaada wa kimataifa.Zaidi ya watu wengine 50,000 wamehama makwao katika nchi jirani ya Msumbuji kutokana na mafuriko hayo....

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yawaua watu 200 Malawi

Utawala nchini Malawi unasema kuwa umewaokoa maelfu ya watu ambao walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yawaua watu 38 Tanzania

Mafuriko mabaya kazkazini magharibi mwa Tanzania yamewaua takriban watu 38.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yawaua watu 8 Tanzania

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali ya Tanzania zimesababisha vifo vya watu wasiopungua wanane

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yawaua watu 14 Madagascar

Watu 14 wameuawa kwenye mafuriko nchini Madagascar ambapo pia wengine 20,000 wamelazimika kuhama makwao.

 

10 years ago

BBC

Flash floods kill 170 in Malawi

The authorities in Malawi say at least 170 people have been killed in flash floods over the past month, with many homes swept away.

 

10 years ago

BBCSwahili

Milipuko yawaua watu 50 Nigeria

Zaidi ya watu 50 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa kwenye mashambulizi ya mabomu siku ya jumamosi kwenye mji wa Maiduguri

 

10 years ago

BBCSwahili

Maparomoko yawaua watu 50 Colombia

Rais wa Colombia anasema kuwa utawala wa nchi hiyo haujui ni watu wangapi ambao hawajulikani waliko kufuatia maparomoko makubwa ya ardhi yaliowaua zaidi ya watu 50

 

10 years ago

BBCSwahili

Maporomoko yawaua watu 15 Nepal

Takriban watu 15 wamefariki huko Nepal baada ya maporomoko yaliosababishwa na mvua kubwa kuvizika vijiji sita huko kaskazini mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani