MAFURIKO YAUA WATU 170 MALAWI
![](http://api.ning.com:80/files/Jn0HiigvFFym3SpgI-Hc02gnWXT9BDBgpwr2CKPKX9zhNxmvSaoyGg3pACCVdYsQS8Ylz7tErEe8Hpr8UszpB0c*vbN5Py7k/malawi.jpg?width=650)
Nyumba ikiwa imezingilwa na maji. TakribanI watu 170 wanaripotiwa kuaga dunia kwenye mafuriko ambayo yameikumba Malawi kwa karibu mwezi mmoja sasa.Watu wengine 100,000 wamelazimika kuhama makwao. Mapema wiki hii rais Peter Mutharika alitangaza thuluthi moja ya nchi hiyo kuwa katika hali ya hatari na kuomba msaada wa kimataifa.Zaidi ya watu wengine 50,000 wamehama makwao katika nchi jirani ya Msumbuji kutokana na mafuriko hayo....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Jan
Mafuriko yawaua watu 170 Malawi
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mafuriko yaua watu 15 DRC
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Mafuriko yawaua watu 200 Malawi
10 years ago
Mwananchi08 Sep
Mafuriko yaua watu 250 India, Pakistan
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80321000/jpg/_80321328_80321321.jpg)
Flash floods kill 170 in Malawi
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Lori la mafuta lawauwa watu 170 Sudan K
9 years ago
Bongo521 Nov
27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali
![2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182-300x194.jpg)
Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.
Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.
Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.
Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.
Kundi la...
9 years ago
BBCSwahili29 Aug
Mafuriko yaua 20 Dominica
11 years ago
Habarileo16 Apr
Mafuriko Dar yaua 41
MAFURIKO yaliyotokea Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki yamesababisha vifo vya watu 41.