Magari zaidi ya 100 yakwama eneo la Manzese barabara ya Dar Es Salaam Mtwara
Malori na Mabasi yakiwa kwenye msururu mrefu mara baada ya kushindwa kuendelea na safari kwa takribani masaa zaidi ya nane katika eneo la Manzese lililopo Kilwa barabara ya Dar Es salaam kuelekea Mtwara hapo jana kutokana na eneo hilo kuharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha na kupelekea magari zaidi ya mia kukwama.
Baadhi ya wasafiri kwenye mabasi yaendayo Dar Es Salaam kutoka Mtwara, Lindi na Kilwa na yale yatokayo Jijini Dar Es Salaam kuekelea mikoa ya Kusini wakiwa wamesimama...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAGARI ZAIDI YA MIA YAKWAMA ENEO LA MANZESE BARABARA YA DAR ES SALAAM MTWARA
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: MAGARI YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA
11 years ago
MichuziBARABARA ZAIDI ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KUENDELEA KUJENGWA JIJINI DAR
11 years ago
GPLMAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA HEDARU KUTOKANA NA MVUA
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: MRADI WA BARABARA YA NJIA SITA KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA CHALINZE (KM 100) WAIVA
10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Hospitali za Apollo kuokoa zaidi ya watu 100 katika maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam
Hospitali za Apollo zimekuwa mstari wa mbele kwa teknolojia ya hali ya juu na zinaongoza katika kutoa huduma nafuu za matibabu kwa wagonjwa duniani kote. Apollo wanashiriki kwenye Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwa mara ya kwanza.
Hospitali za Apollo ziko hapa kutangaza huduma wanazotoa na kuongeza uelewa kuhusu Apollo. Wageni mbalimbali wanaotembelea Saba Saba wanaweza sasa kuelimishwa kuhusu huduma mbalimbali na teknolojia zinazotolewa na Hospitali za Apollo...