Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magereza kujiendesha kibiashara

JESHI la Magereza limesema limejipanga kutekeleza maelekezo mbalimbali yaliyotolewa na Rais John Magufuli ambayo ni pamoja na kujiendesha kibiashara katika miradi yake na pia kupunguza matumizi ya fedha za Serikali. Akizungumza katika Mkutano wa Mwaka na maofisa waandamizi wa Jeshi hilo, Kamishna Jenerali, John Minja alisema katika kutekeleza agizo hilo la Rais Magufuli la kujiendesha kibiashara, tayari Jeshi limeandaa andiko la miradi ambalo limekwisha kabidhiwa Tume ya Mipango.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

HASUNGA AITAKA NFRA KUJIENDESHA KIBIASHARA, KUTAFUTA MASOKO NJE YA NCHI



Charles James, Michuzi TV

WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umetakiwa kuhakikisha unajiendesha kibiashara pamoja na kutoa huduma bora kwa watanzania.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Joseph Hasunga leo jijini Dodoma alipokua akizindua Bodi ya Ushauri ya NFRA ambapo ameutaka wakala huo kufanya manunuzi kipindi hiki cha mavuno.

Ameutaka wakala huo kufanya manunuzi ya mazao kwa ajili ya kuhifadhi kama akiba kwenye maghala ya serikali lakini pia kwa ajili ya biashara kwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AITAKA NFRA KUJIENDESHA KIBIASHARA NA KUTAFUTA MASOKO NJE YA NCHI


Charles James, Michuzi TV

WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umetakiwa kuhakikisha unajiendesha kibiashara pamoja na kutoa huduma bora kwa watanzania.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Joseph Hasunga leo jijini Dodoma alipokua akizindua Bodi ya Ushauri ya NFRA ambapo ameutaka wakala huo kufanya manunuzi kipindi hiki cha mavuno.

Ameutaka wakala huo kufanya manunuzi ya mazao kwa ajili ya kuhifadhi kama akiba kwenye maghala ya serikali lakini pia kwa ajili ya biashara kwa kutafuta...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020  katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akiwa meza kuu pamoja na Viongozi Waandamizi wa...

 

10 years ago

Habarileo

TRL yatamba sasa kujiendesha yenyewe

Mwenyekiti wa Bodi ya TRL, Severin KaombweKAMPUNI ya Reli nchini (TRL) imetamba kuwa sasa ni mwanzo kwa kampuni hiyo kujiendesha kibiashara na kuipunguzia mzigo serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Ni aibu michezo kujiendesha kama yatima

Ni dhahiri kwamba nchi yetu itasubiri kwa muda mrefu kabla ya kuanza kuchuma kutoka kwenye sekta ya michezo inayoonekana wazi haina mwenyewe.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AVISHA YEO MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR ES SALAA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja akikagua Gadi Maalum ya Heshima iliyoandaliwa na Maafisa wa Jeshi la Magereza katika hafla ya uvishaji vyeo kwa Maafisa waliopandishwa vyeo ngazi mbalimbali(jana) Machi 20, 2015 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Dar es Salaam.Bendi ya Jeshi la Magereza ikipita mbele ya Mgeni rasmi Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) kutoa heshima baada ya zoezi la uvishaji vyeo Maafisa 77 wa vyeo...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA UYUI TABORA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashilia uzinduzi rasmi wa "Duty Free Shop" ya Magereza Mkoani Tabora leo februari 28, 2015. Kamishna Jenerali Minja amesema kuwa Huduma hiyo itatolewa pia kwa Maafisa na Askari wa Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama Mkoani Tabora(kulia) ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Transit Military Shop, Bw. Sadrudin Virji.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto)...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA MAGEREZA NCHINI ZAMBIA ATEMBELEA MAGEREZA TANZANIA

 Kamishna wa Magereza nchini Zambia  Percy Chato (mwenye suti) akipokea salaam ya heshima kutoka kwa Paredi maalum (halipo pichani) lililoandaliwa maalum kwa jairi yake katika uwanja wa paredi wa Chuo Cha Maafisa wa Magereza Ukonga.Nyuma yake ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza nchini Dkt Juma Ali Malewa na mwenye nguo za kijani ni Kaimu Mkuu wa Chuo  Kamishna Msaidizi wa Magereza Erasmus Kundi.  Kamishna wa Magereza nchini Zambia  Percy Chato (mwenye suti) akikagua paredi...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI KUVISHA VYEO MAAFISA WAANDAMIZI WA MAGEREZA MKOA WA DAR ES SALAM

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(pichani) kesho tarehe 20 Machi, 2015 saa 8:00 mchana atawavisha vyeo Maafisa wa Jeshi la Magereza wa ngazi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam waliopandishwa vyeo kwa mujibu wa Sheria.

Kwa Mamlaka aliyopewa kisheria na Tume ya Polisi na Magereza ya Mwaka 1990, Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini atawavisha vyeo hivyo katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa wa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.

Tume ya Polisi na Magereza katika Kikao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani