Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HASUNGA AITAKA NFRA KUJIENDESHA KIBIASHARA, KUTAFUTA MASOKO NJE YA NCHI



Charles James, Michuzi TV

WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umetakiwa kuhakikisha unajiendesha kibiashara pamoja na kutoa huduma bora kwa watanzania.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Joseph Hasunga leo jijini Dodoma alipokua akizindua Bodi ya Ushauri ya NFRA ambapo ameutaka wakala huo kufanya manunuzi kipindi hiki cha mavuno.

Ameutaka wakala huo kufanya manunuzi ya mazao kwa ajili ya kuhifadhi kama akiba kwenye maghala ya serikali lakini pia kwa ajili ya biashara kwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AITAKA NFRA KUJIENDESHA KIBIASHARA NA KUTAFUTA MASOKO NJE YA NCHI


Charles James, Michuzi TV

WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umetakiwa kuhakikisha unajiendesha kibiashara pamoja na kutoa huduma bora kwa watanzania.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Joseph Hasunga leo jijini Dodoma alipokua akizindua Bodi ya Ushauri ya NFRA ambapo ameutaka wakala huo kufanya manunuzi kipindi hiki cha mavuno.

Ameutaka wakala huo kufanya manunuzi ya mazao kwa ajili ya kuhifadhi kama akiba kwenye maghala ya serikali lakini pia kwa ajili ya biashara kwa kutafuta...

 

9 years ago

Habarileo

Magereza kujiendesha kibiashara

JESHI la Magereza limesema limejipanga kutekeleza maelekezo mbalimbali yaliyotolewa na Rais John Magufuli ambayo ni pamoja na kujiendesha kibiashara katika miradi yake na pia kupunguza matumizi ya fedha za Serikali. Akizungumza katika Mkutano wa Mwaka na maofisa waandamizi wa Jeshi hilo, Kamishna Jenerali, John Minja alisema katika kutekeleza agizo hilo la Rais Magufuli la kujiendesha kibiashara, tayari Jeshi limeandaa andiko la miradi ambalo limekwisha kabidhiwa Tume ya Mipango.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AIAGIZA NFRA KUHIFADHI CHAKULA KINACHONUNULIWA KWENYE VIHENGE VIPYA


Charles James, Michuzi TV

WAZIRI wa Kilimo Japhet Hasunga amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Milton Lupa kuhakikisha chakula kinachonunuliwa Kanda ya Arusha kinahifadhiwa kwenye vihenge vipya.

Maagizo hayo ameyatoa wilayani Babati, Manyara alipofanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa maghala mapya na vihenge vya kisasa ambavyo vimekamilika kwa asilimia 94.

Waziri Hasunga ameiagiza NFRA kuhakikisha inanunua mazao mchanganyiko katika msimu huu na siyo kununua...

 

5 years ago

Michuzi

TUMEKUSUDIA NFRA LAZIMA IJIENDESHE KIBIASHARA-MHE MGUMBA

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe Omary Mgumba (Mb) akisisitiza jambo wakati akifunga kikao kazi cha Bodi ya Ushauri ya NFRA jijini Dodoma hivi karibuni. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe Omary Mgumba (Mb) akisisitiza jambo wakati akifunga kikao kazi cha Bodi ya Ushauri ya NFRA jijini Dodoma hivi karibuni. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Mhandisi Yustas Kongolle (Kushoto) na Afisa Mtendaji...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AITAKA IDARA YA SERA NA MIPANGO KUANISHA KIASI GANI CHA FEDHA KILICHOWEKEZWA KWENYE KILIMO

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na watumishi wa idara ya Sera na Mpingo katika ukumbi wa Wizara hiyo maarufu kama KILIMO IV Jijini Dodoma leo tarehe 22 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na watumishi wa idara ya Sera na Mpingo katika ukumbi wa Wizara hiyo maarufu kama KILIMO IV Jijini Dodoma leo tarehe 22 Aprili 2020, Mwingine pichani ni Naibu...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AITAKA TARI KUFANYA TAFITI ZINAZOLENGA KUONGEZA TIJA NA UZALISHAJI NA KUHAMASISHA MATUMIZI YA PEMBEJEO ZA KILIMO

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akikagua mashamba ya maonesho wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya Kilimo Bishara mwaka 2020 yaliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI-Ilonga) kwa kushirikiana na makampuni ya mbegu tarehe 17 Juni 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akikagua mashamba ya maonesho wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya Kilimo Bishara mwaka 2020 yaliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yahaha kutafuta soko la mahindi nje

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetoa wito kwa wafanyabiashara kuchangamkia masoko ya mazao ya chakula nje ya nchi hasa mahindi kwa kuwa yapo mengi nchini.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO NA WAZIRI WA VIWANDA WAONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UFUNGAMANISHAJI SEKTA YA KILIMO NA MIKAKATI YA KUTAFUTA MASOKO

Waziri wa Viwanda na Bishara Mhe Innocent Nashungwa (Kulia) akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi cha kujadili namna ya kufungamanisha uchumi wa Kilimo na Viwanda Jijini Dodoma, leo tarehe 1 Aprili 2020.Mshauri wa masuala ya Maendeleo ya Viwanda vya Kilimo wa Taasisi ya kuendeleza Kilimo Afrika (AGRA) Ndg Peniel Lyimo akichangia mada wakati wa kikao kazi kilichoongozwa na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa cha kujadili namna...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nitaboresha uhusiano wa kibiashara na nchi jirani

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema serikali yake itashirikiana na nchi jirani ili kuhakikisha wananchi wa mikoa ya mipakani wanapata fursa za kibiashara katika nchi hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani