Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maghembe akataa taarifa ya mhandisi

WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, ameikataa taarifa ya hali ya utoaji wa huduma ya maji kwa Mkoa wa Kilimanjaro iliyosomwa na Mhandisi wa Maji wa mkoa huo, Immaculate Rafael,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

RC akataa taarifa ya ujenzi maabara Kilosa

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ameikataa taarifa ya ujenzi wa maabara ya Wilaya ya Kilosa kutokana na utekelezaji wake kusuasua na kuagiza kukamilishwa ndani ya Machi mwaka huu.

 

9 years ago

Mtanzania

Mhandisi jela kwa rushwa

NA BEATRICE MOSSES, BABATI

MHANDISI wa maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Baslid Mlay, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Sh milioni 1.5 baada ya kupatikana na hatia ya kuomba rushwa ya Sh milioni saba.

Katika kesi hiyo ya jinai namba 118 ya mwaka 2013, Mlay ambaye alishtakiwa kwa tuhuma sita, alitiwa hatiani kwa makosa matatu ambapo kila kosa alihukumiwa kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya Sh 500,000.

Akisoma hukumu hiyo mjini Babati,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Mpanda amtolea uvivu mhandisi

MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima, amempa  siku saba Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda,  Albert Kinyando, kuhakikisha jengo la Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanri amsimamisha kazi mhandisi

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri amemsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, Paschal Manyama.

 

11 years ago

Mwananchi

Mr Bean: Mhandisi anayezeekea kwenye vichekesho

Inawezekana kuonekana ni jambo la ajabu kwa mtu mwenye taaluma inayoheshimika katika jamii kutojihusisha kabisa na kazi hiyo, badala yake kufanya kitu asicho na msingi nacho.

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Muhongo akerwa na mhandisi wa maji

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Musoma Vijijini, Federika Myovela kumshusha cheo mhandisi aliyeshindwa kutaja vijiji 10 vitakavyotekeleza mradi wa maji wa zaidi ya Sh30 bilioni.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanri achefuka viwango vya mhandisi

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri ametilia shaka uwezo wa kitaaluma na kiutendaji wa Mhandisi wa ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, Ngonyani Ngonyani na hivyo kuagiza kupatiwa taarifa zake binfasi na vyeti vyake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mhandisi apewa siku 14 kukamilisha mradi

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, wamempa siku 14 mhandisi wa maji wa halmashauri hiyo, Bathromeo Matwiga awe amekamilisha mradi wa uchimbaji wa visima virefu vya maji wa Kijiji cha Naipanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Mhandisi asisitiza barabara ya Arusha —Mara itajengwa

>Mpango wa ujenzi wa barabara ya lami inayounganisha mikoa ya Arusha na Mara utaendelea kama ilivyotangazwa na Serikali isipokuwa katika eneo la kilometa 53 lililoko katika Hifadhi ya Serengeti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani