Magufuli achanja mbuga
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ), Dk. John Magufuli, amesema serikali atakayounda itajikita katika kukusanya na kusimamia mapato ili kuleta maendeleo kwa wananchi wanyonge.
Amesema lengo ni kuhakikisha anakusanya mara mbili zaidi ya kinachokusanywa sasa na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete. Dk. Magufuli alisema hayo jana alipohutubia mkutano wa hadhara Mtwara Mjini, katika Uwanja wa Mashujaa, uliohudhuriwa na umati wa watu.
Alisema Rais Kikwete alipoingia...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Apr
Ridhiwani achanja mbuga Chalinze
MGOMBEA Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete anaendelea kufanya vizuri wakati matokeo ya kuwania nafasi hiyo yakiendelea kuhesabiwa kutoka vituo mbalimbali vya jimbo la Chalinze.
9 years ago
Dewji Blog05 Sep
Lucy Magereli wa CHADEMA Jimbo la Kigamboni mwendo mdundo achanja mbuga!
Mgombea Ubunge jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akipeperusha benndera ya UKAWA, Kamanda Lucy Magereli
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Kigamboni-Dar es Salaam) Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia anapeperusha bendera ya UKAWA inayoungwa mkono na vyama vya NCCR-Mageuzi, NLD, CHADEMA na CUF, Kamanda Lucy Magereli amewataka wananchi wa jimbo hilo la Kigamboni kumpigia kura za ndio hiyo Oktoba 25, mwaka huu...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9OjEPBJFCK0/VgGk-XbNPBI/AAAAAAAAECo/OU8NPrrF_nM/s72-c/IMG_0060.jpg)
Mama Samia Suluhu Hassan achanja mbuga katika kampeni Wilaya za Korongwe na Lushoto
![](http://4.bp.blogspot.com/-9OjEPBJFCK0/VgGk-XbNPBI/AAAAAAAAECo/OU8NPrrF_nM/s640/IMG_0060.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-G30CiuvDnaA/VgGk7aAAaYI/AAAAAAAAEB8/DHyaJH3JGoI/s640/IMG_0025.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-kUagwLk0Vb4/VgGk-i9IL8I/AAAAAAAAECc/6BIf9a-Eqkg/s640/IMG_0069.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Vqpbaa1erU0/Vf7WbPVTRrI/AAAAAAAH6Vg/xJ0FvaloqdE/s72-c/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara Mukangara achanja mbuga
![](http://1.bp.blogspot.com/-Vqpbaa1erU0/Vf7WbPVTRrI/AAAAAAAH6Vg/xJ0FvaloqdE/s640/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GYHWCn7n0G8/Vf7WavXd4nI/AAAAAAAH6VY/ZZ43ipJG7b4/s640/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Jimbo-la-ulyanhulu.jpg)
MAGUFULI AZIDI KUCHANGA MBUGA MKOANI TABORA
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Dkt. Magufuli azidi kuchanja mbuga mikutano ya kampeni mkoani Rukwa
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ghoa1QUm7TA/VdybRc19stI/AAAAAAAC-CA/ISG0Ifn31xE/s640/_MG_6249.jpg)
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela jana jioni.
![](http://4.bp.blogspot.com/-BsaIiqPuEfU/VdybQoxK4EI/AAAAAAAC-B0/JMDNIDl8J9w/s640/_MG_6257.jpg)
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sumbawaga mjini mkoani Rukwa,ndani ya Uwanja wa Nelson Mandela kwenye mkutano wa kampeni,pichani nyuma ni Waziri Mkuu Pinda akishuhudia tukio hilo.
![_MG_6285](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/MG_6285.jpg)
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
Dk. Magufuli azidi kuchanja mbuga Mwanza, Katika majimbo ya Magu, Sumve,Kwimba na Misungwi
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni mjini Misungwi, Mwanza jana, ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Dk Magufuli akiingia kwenye gari baada ya kuhutubia akiwa juu ya gari mjini Ngudu, Kwimba leo
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia huku akiwa amesimama juu ya gari katika mkutano wa kampeni...
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA MWANZA KATIKA MAJIMBO YA MAGU, SUMVE, KWIMBA NA MISUNGWI
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
Magufuli azidi kuchanja mbuga, awataka wananchi waweke imani kubwa kwake na kumpa kura nyingi za ushindi
![](http://2.bp.blogspot.com/-0QfaQ2dqtVI/VeHdmDumpWI/AAAAAAAH03Y/XfqV2VIDcRM/s640/1.jpg)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Njombe mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jioni ya jana katika uwanja wa saba saba.Magufuli amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataendeleza juhudi zake za kujenga barabara kwa kiwango cha lami,amesema dhamira yake aliokuwa nayo ya Uwaziri wa Ujenzi katika kujenga barabara za lami katika maeneo yote hapa nchini.
Amesema tangu...