Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani achanja mbuga Chalinze

MGOMBEA Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete anaendelea kufanya vizuri wakati matokeo ya kuwania nafasi hiyo yakiendelea kuhesabiwa kutoka vituo mbalimbali vya jimbo la Chalinze.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Tanzania

Magufuli achanja mbuga

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ), Dk. John Magufuli, amesema serikali atakayounda itajikita katika kukusanya na kusimamia mapato ili kuleta maendeleo kwa wananchi wanyonge.


Amesema lengo ni kuhakikisha anakusanya mara mbili zaidi ya kinachokusanywa sasa na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete.
Dk. Magufuli alisema hayo jana alipohutubia mkutano wa hadhara Mtwara Mjini, katika Uwanja wa Mashujaa, uliohudhuriwa na umati wa watu.


Alisema Rais Kikwete alipoingia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Lucy Magereli wa CHADEMA Jimbo la Kigamboni mwendo mdundo achanja mbuga!

11947662_1042542635758794_8488837271287773925_nMgombea Ubunge jimbo la Kigamboni  kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akipeperusha benndera ya UKAWA, Kamanda Lucy Magereli 

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Kigamboni-Dar es Salaam) Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia anapeperusha bendera ya UKAWA inayoungwa mkono na vyama vya NCCR-Mageuzi, NLD, CHADEMA na CUF, Kamanda Lucy Magereli  amewataka wananchi wa jimbo hilo la Kigamboni kumpigia kura za ndio  hiyo Oktoba 25, mwaka huu...

 

9 years ago

Michuzi

Mama Samia Suluhu Hassan achanja mbuga katika kampeni Wilaya za Korongwe na Lushoto

Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo mjini Korogwe, Mkoa wa Tanga.Mgombea mwenza nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii na wananchi wengine alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi leo Mjini Korogwe ambapo alifanya mkutano wa kampeni.Mgombea mwenza nafasi ya urais wa Chama Cha...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara Mukangara achanja mbuga

 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara akiongea na wakazi wa eneo hilo wakati akipokuwa akitangaza sera za chama chake na kuwaomba wampigie kura katika uchaguzi ujao pamoja na madiwani wengine sita wa chama cha mapinduzi.Dkt Fenella alitaja vipaumbele vyake katika jimbo hilo ambavyo ni Maji,Elimu,Afya pamoja na ajira kwa Vijana na kuwasihi wakazi hao kuchagua maendeleo bora yatayopatikana ndani ya CCM.Mwenyekiti  wa CCM mkoa wa Dar es...

 

11 years ago

GPL

CHADEMA YAZIDI KUCHANJA MBUGA CHALINZE

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kijijini hapo.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Miono.… ...

 

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani ashukuru Chalinze

Ridhiwani KikweteRIDHIWANI Kikwete, Mbunge Mteule wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani amesema kuwa yeye ni mbunge wa watu wote wa Jimbo la Chalinze.

 

11 years ago

Habarileo

CCM: Ridhiwani suluhisho Chalinze

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani, Mwishee Mlau amesema mwenye uwezo wa kutatua changamoto zilizopo katika Jimbo la Chalinze ni mgombea wa chama hicho, Ridhiwani Kikwete na sio mgombea mwingine.

 

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani athibitishwa na CCM Chalinze

Ridhiwani KikweteKAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua, Ridhiwani Kikwete, kuwa mgombea katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, unaotarajiwa kufanyika Aprili 6, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani