Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli afunga kufuli TRA

Pg 1*Amsimamisha kazi Kamishna Mkuu Bade, amteua Mpango kukaimu

*Waziri Mkuu Majaliwa asimamisha watano, awakabidhi mikononi mwa polisi

 

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIS John Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Rished Bade, kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya Sh bilioni 80 na kumteua Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Philip Mpango, kukaimu nafasi hiyo.

Sambamba na hatua hiyo, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, amewasimamisha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AFUNGA KAZI MWANZA

 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe akiwasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba tayari kuhutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM jijini Mwanza.
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo amehitimisha kampeni zake jijini Mwanza ambapo maelfu ya wananchi walihudhuria. Katika mkutano huo wa kampeni  za aina yake zimehudhuriwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete pamoja na mgombea mwenza wa urais Samia Suluhu Hassan Akizungumza katika mkutano huo Dk. Magufuli amesema katika...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AFUNGA KAZI SUMBAWANGA MJINI

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa mji huo. Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly . Kada wa CCM Mzee Chrisant...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AFUNGA KAMPENI ZAKE KWA MKOA WA KAGERA

Wakazi wa Kyerwa wakimsikiliza Dk. Jonh Pombe Magufuli wakati wa mkutano wake wa kampeni. Magufuli akijinadi sambamba na mgombea ubunge jimbo la Ngara (CCM) Alex Gashaza.…

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AFUNGA KAZI JIONI YA LEO MKOANI MTWARA

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli,akiwahutubia wananchi wa mji wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni unaoendelea jioni hii katika uwanja wa Mashujaa.

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli,akiwahutubia wananchi wa mji wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni unaoendelea jioni hii katika...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AFUNGA KAMPENI ZAKE DAR, KESHO KUITEKA MWANZA

Dk. Magufuli akimwaga sera kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Jangwani leo. Mwenyekiti wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete akimnadi mgombea urais wa CCM, Dk. Magufuli leo.…

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AFUNGA KAMPENI ZAKE JIJINI MWANZA KWA KISHINDO

Mgombea urais kwa tiketi ya CCm, Dk John Pombe Magufuli akiusalimia umati wa watu waliofika kwenye mkutano wake wa kufunga kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Rais wa Jamhuri ya uungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiingia katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza huku akicheza.…

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AFUNGA KAZI JIJINI ARUSHA,APOKELEWA KWA KISHINDO.

Mgombea Urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa sambamba na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwasalimia wakazi wa jiji la Arusha na vitongoji vyake kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid,mkoani ArushaMgombea Ubunge wa jimbo la...

 

9 years ago

Mtanzania

TRA: Rais Magufuli ametupa rungu

4NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kuanzia sasa inaanza kutekeleza agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuwakamata wafanyabiashara watakaokwepa kulipa kodi na kuwafikisha mbele ya vyombo vya dola.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade, alisema uamuzi wa kuwakamata wafanyabiashara ambao siku za nyuma walikuwa wakikingiwa kifua na watendaji wa Serikali, utaanza mara moja baada ya kupata baraka za Rais...

 

9 years ago

Mwananchi

Kasi ya Dk Magufuli yamsomba bosi TRA

Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade baada ya kubaini ‘madudu’ katika ofisi za mamlaka hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani