MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA MJINI TANGA
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi9 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziDK. MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA KIBAIGWA ASUBUHI HII
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Kibaigwa, Mkoani Dodoma asubuhi hii, wakati akiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Mkoani Geita.
9 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA TANGA CEMENT WAFANYA USAFI SOKO KUU LA MJINI TANGA LA NGAMIANI
Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Diana Malambugi (kulia) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakifanya usafi katika Soko Kuu la Mji wa Tanga la Ngamiani mjini humo leo, kuadhimisha Siku ya Uhuru iliyodhimishwa kwa watanzania wote kujishughulisha na shuhuli za usafi wa mazingira. Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga, wakifanya usafi katika Soko Kuu la Mji wa Tanga la Ngamiani mjini humo jana kuadhimisha Siku ya Uhuru ambayo watanzania nchini kote...
9 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziHIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA LEO WILAYANI BABATI MKOA WA MANYARA
Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea katika uwanja wa Kwaraha,wilayani Babati mkoani Manyara jioni ya leo,ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia na kujinadi kwa Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara. Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake wakimshangilia...
10 years ago
MichuziWafanyakazi Wanawake wa Tanga Cement Walivyosherehekea Siku ya Wanawake Duniani mjini Tanga
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Tanga Cement Plc, Reinhardt Swart (kushoto) akimpa zawadi mhandisi mwanamke kijana katika kampuni hiyo, Irene Lema katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake wa Tanga Cement kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga. Kaimu Ofisa Fedha Mkuu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Unguu Sulay (kulia) akimpa zawadi mfanyakazi mwanamke hodari na mwenye mfano wa kuigwa wa kampuni hiyo, Rosemary Kashaga Juma katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake...
9 years ago
VijimamboMAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA WILAYA YA NJOMBE MKOANI NJOMBE.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ludewa mjini kabla ya kuanza kuwahutubia ,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo na kuhudhriwa na maelfu ya watu.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ludewa waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo.
Mgombea Ubunge wa jimbo...
Mgombea Ubunge wa jimbo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania