Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli amuibua Dk. Slaa

KASI ya kupambana na ufisadi ya Rais Dk.

Mary Victor

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Slaa: Rais wangu ni Dk Magufuli

KATIBU Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema anamkubali kwa asilimia 90 mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akisema anafaa kwa nafasi hiyo kwa kuwa ni jasiri na ana uwezo wa kupambana na ufisadi.

 

9 years ago

Raia Mwema

Dk. Magufuli abeba ajenda ya Dk. Slaa

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.

Waandishi Wetu

 

10 years ago

Raia Tanzania

Dk. Slaa, Magufuli kuitikisa Dar

KITENDAWILI cha kumpata mgombea urais wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), huenda kikateguliwa kesho kwa vyama hivyo kumtangaza Dk. Wilbrod Slaa.

Ukawa inaundwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR Mageuzi, Chama cha Wananchi (CUF) na NLD.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya vikao vya Ukawa vilivyofanyika mfululizo mwishoni mwa wiki, pamoja na mnyukano uliokuwapo, hatimaye vyama hivyo vinatarajia kutoka na jina moja la mgombea...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa: Magufuli anafaa kuwa rais

Dr-Slaa-4Na Khamis Mkotya, Dar

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa, amempigia debe mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akisema kuwa anafaa kuwa rais wa awamu ya tano.

Dk. Slaa amedhihirisha hisia zake hizo juzi usiku wakati akihojiwa katika kipindi maalumu kilichoandaliwa na kurushwa na Kituo cha Televisheni cha Star TV.

Dk. Slaa ambaye alizungumzia masuala mbalimbali, alisema anamuunga mkono Dk. Magufuli kwa kuwa ni...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kanda ya Ziwa wawachambua Magufuli, Slaa

WAKAZI mbalimbali wa mikoa ya Kanda ya Ziwa wamewachambua wagombea urais, Dk.

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli ammwagia sifa Dk. Willbrod Slaa

MTZ2NA BAKARI KIMWANGA, HANANG’ KWAANGW’

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amemsifu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na kusema ni kiongozi safi anayewapenda Watanzania.

Alisema kama Dk. Slaa, angekuwa anagombea nafasi yoyote angewaambia Watanzania ni mtu safi mwenye uchungu na taifa lake.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano yake ya kampeni aliyoifanya majimbo ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk John Magufuli ammwagia sifa Dk Slaa Karatu

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana aliwahutubia mamia ya wakazi wa Karatu na kummwagia sifa aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuwa ni kiongozi mwadilifu.

 

9 years ago

Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)

Poll countdown drama as Slaa, Mrema now endorse Magufuli


Poll countdown drama as Slaa, Mrema now endorse Magufuli
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
WITH the countdown to the general election approaching the big day, there has come a dramatic turn of events. 4 Comments. The National Chairman of the opposition Tanzania Labour Party (TLP), Mr Augustino Mrema, and former Chadema Secretary ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani