Magufuli kufilisi Serikali
ILE meli maarufu kwa jina la ‘Meli ya Magufuli’ ambayo ilinaswa na serikali katika eneo la Bahari ya Hindi ikivua samaki bila kibali, itaifilisi serikali baada ya Wachina walioshitakiwa nayo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAJI, MAKALLA AWANASA WEZI WA MAJI DAR NA KUTANGAZA KUFILISI MALI ZAO.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya ufyatuaji matofali ya Ujenzi Solutions, ya Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, Rahim Hamis na mfanyabiashara wa kampuni isiyo na jina, Credo Rajab (kulia) wakiwa chini ya uliznzi wa Polisi huku wakiwa wamevishwa pingu baada Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla kuamuru kuwakamata alipokagua viwanda vyao vya ufyatuaji na kugundulika kuwa wanatumia maji isivyo halali kwa kujiunganishia kwenye bomba kuu la Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dar ws Salaam (DAWASA). ...
9 years ago
CCM BlogKAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII
9 years ago
Mwananchi11 Oct
Magufuli aanza kuunda serikali
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Serikali ya Magufuli yambana Zari
Zarinah Hassan ‘Zari’.
HAPA Kazi Tu! Serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli inazidi kuwanyoosha wakwepa kodi na sasa zamu ya utumbuaji majipu imemshukia Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tifah, kwa kutaka asiandae tamasha kama lile la Zari All White Party lililofanyika mwaka jana kufuatia kukiuka baadhi ya masharti yanayoendana na ukusanyaji wa mapato ya serikali kupitia matamasha ya sanaa ya muziki.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, mama Tiffah ametakiwa kutofanya shoo kama ile kutokana na ile ya...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/sD_zOmscuq0/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Kinana: Magufuli kusafisha CCM na Serikali
9 years ago
Raia Mwema04 Nov
Serikali ya Magufuli inayokuja na shaka iliyopo
ZILIONEKANA kila dalili, kuwa mgombea urais wa CCM, Dk.
Maggid Mjengwa
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Serikali yasitisha matumizi picha ya Dk Magufuli
10 years ago
Mtanzania26 Aug
Wachina wa Magufuli waidai Serikali trilioni 1.3/-
![Waziri John Magufuli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/John-Magufuli.jpg)
Waziri John Magufuli
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WACHINA wa ‘samaki wa Magufuli’ walioachiwa huru wanadai meli na samaki zilizokuwamo, ambavyo vyote vina thamani ya Dola za Marekani 3,220,000.
Mbali na kutakiwa kulipa fedha hizo, pia inatakiwa kulipa Sh trilioni 1.3 ikiwa ni gharama zote, ikiwamo meli, samaki, mawakili na mabaharia wake.
Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Wakili wa Wachina hao, Kapten Ibrahim Bendera na Wakili John Mapinduzi, walipokuwa wakizungumzia hatima ya madai...