Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli, Lowassa sasa mwendo mdundo

Wagombea urais wa CCM na Ukawa jana waliendelea kuchanja mbuga katika kampeni zao katika mikoa ya Tabora na Singida ambako kila mmoja alikutana na matukio tofauti.  

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kampeni za Urais za Dk Magufuli ni mwendo mdundo Mtwara

 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Mashujaa mjini Mtwara jana, ambapo alijinadi na kuwanadi wagombea ubunge pamoja na wagombea udiwani katika Manispaa ya Mtwara.

Dk Magufuli tayari hadi sasa amefanya mikutano ya kampeni katika mikoa 6 ya Katavi, Rukwa, Mbeya, Njombe, Ruvuma na Mtwara. ambapo aakishinda uchaguzi ameahidi mambo mbalimbali kama vile ile ya bure kutoka darasa la kwanza hadi kidato cha...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE MWENDO MDUNDO JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kulia) akiambatana na Mwenyekiti wa Kampeni wa Chalinze (CCM),Saleh Mpwimbwi (kushoto) pamoja na Msafara wake wakielekea kuhani Msiba wa Mtoto wa Mzee Mashaka Athuman mkazi wa kijiji cha Rupungwi,Kata ya Mandela iliopo ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 17,2014. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Lucy Magereli wa CHADEMA Jimbo la Kigamboni mwendo mdundo achanja mbuga!

11947662_1042542635758794_8488837271287773925_nMgombea Ubunge jimbo la Kigamboni  kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akipeperusha benndera ya UKAWA, Kamanda Lucy Magereli 

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Kigamboni-Dar es Salaam) Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia anapeperusha bendera ya UKAWA inayoungwa mkono na vyama vya NCCR-Mageuzi, NLD, CHADEMA na CUF, Kamanda Lucy Magereli  amewataka wananchi wa jimbo hilo la Kigamboni kumpigia kura za ndio  hiyo Oktoba 25, mwaka huu...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

OYA MASELA SASA HIVI NI MWENDO WA VIPARA!

Mambo vipi wanangu wenyewe? Mzuka? Kitaa hiyo kwa ndichi hapo kati inakuwa nini? Kipande hii haiwi kitu. Hapa vumbi tu kama vipi karibu kwa jamvini rede kukisanua. Kwani kuna tatizo? Hakuna tatizo!
Festi sharauti ziende kwa masela na washikaji zangu wote mlioibuka pale kati Uwanja wa Taifa kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini. Aisee siyo sekreti ilikuwa mzuksi hatare sana. Bata zilipigwa hadi kuku wakaona mawivu daadeki! Bigi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani